Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Majina ya vimbunga hutoleea na sehemu husika kinapotokeaHaya majina huwa yanapatikana vp kitofautisha kimbunga me na kewapi mkuu?
Nadhani hiki cha sasa wamekipa jina hidaya ili kurahisisha uelewa wa wabantu wengi.
Kila sehemu duniani wana namna yao ya kutoa majina,ukanda huu wa huku kwetu wanatoa majina ya vimbunga kwa jinsia yani jina la kike au kiume.
Na utafiti unaonyesha kwamba vimbunga vyenye majina ya kike vimeonekana kuwa na madhara makubwa zaidi kuliko vyenye majina ya kiume, kwasababu watu hawachukui tahadhari za kutosha hata wakupewa taarifa tofauti na vile vyenye majina ya kiume....mfano mzuri ni comments za kwenye huu uzi.