Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

Haya majina huwa yanapatikana vp kitofautisha kimbunga me na kewapi mkuu?
Majina ya vimbunga hutoleea na sehemu husika kinapotokea

Nadhani hiki cha sasa wamekipa jina hidaya ili kurahisisha uelewa wa wabantu wengi.

Kila sehemu duniani wana namna yao ya kutoa majina,ukanda huu wa huku kwetu wanatoa majina ya vimbunga kwa jinsia yani jina la kike au kiume.

Na utafiti unaonyesha kwamba vimbunga vyenye majina ya kike vimeonekana kuwa na madhara makubwa zaidi kuliko vyenye majina ya kiume, kwasababu watu hawachukui tahadhari za kutosha hata wakupewa taarifa tofauti na vile vyenye majina ya kiume....mfano mzuri ni comments za kwenye huu uzi.
 
Arusha, Kuna mwaka 2019 mwishoni nadhani au 2020 mwanzoni. Nilishuhudia upepo mkali plus vumbi mpk hamuonani, barabarani bila taa hutembei.
Ilikuwa ni mchana vile lkn pakawa kama jioni… sitamani kushuhudia hicho kitu tena
Hakika sio jambo la kuombea litokee
 
Arusha, Kuna mwaka 2019 mwishoni nadhani au 2020 mwanzoni. Nilishuhudia upepo mkali plus vumbi mpk hamuonani, barabarani bila taa hutembei.
Ilikuwa ni mchana vile lkn pakawa kama jioni… sitamani kushuhudia hicho kitu tena
Ilikua kipindi Cha Giza.
 
Bado lipo njian mpka tisa hivi kitakuwa pwani 72.5kmph
 
Attachments

  • Screenshot_20240504-081130_Zoom Earth.jpg
    Screenshot_20240504-081130_Zoom Earth.jpg
    587.6 KB · Views: 2
Arusha, Kuna mwaka 2019 mwishoni nadhani au 2020 mwanzoni. Nilishuhudia upepo mkali plus vumbi mpk hamuonani, barabarani bila taa hutembei.
Ilikuwa ni mchana vile lkn pakawa kama jioni… sitamani kushuhudia hicho kitu tena
Naikumbuka,ilikuwa 2019 mwishoni
 
Back
Top Bottom