Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

Attachments

  • IMG_9362.jpeg
    IMG_9362.jpeg
    603.8 KB · Views: 2
IMG_9365.jpeg
Dar Imesalimika-Morogoro Hidaya ataishia kwenye safu ya Milima ya Ulugulu karibu na Mgeta- hili eneo lipo mbele ya ile milima inayoonekana kama upo Maeneo ya Mzumbe! Ni 100% safu ya milima ya Uluguru. Kuna vijiji kadhaa lakini ni milima mitupu so athari azitokuwa Kubwa. Tanzania tuna kila sababu ya Kumshukuru Mungu.Asbh ilikuwa inaonekana kuwa Hidaya angeishia Lushoto Milimani! Hivyo kwa Tanzania Hidaya ilionekana mapema ataishia milimani🙏
 
Back
Top Bottom