jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Huu uwekezaji mkubwa..sana hongera sana..Niko mbali na shamba hivyo picha wakati wa kumwagilia kwa sasa sina isipokuwa mfumo niliotumia wa umwagiliaji ni very simple. Umwagiliaji kwa sasa haifanyiki cause mahindi yamekomaa yakiendelea kukauka tayari kwa kuvunwa. Shamba linapakana na mto mkubwa usiokauka mwaka mzima hivyo nachofanya ni kulekeza pipes mtoni na kuchukua maji na kumwagilia kwa mashine inyorusha juu na kufanya mazao kama yananyeshewa mvua. Mashine hii kwa Tanzania inauzwa around milioni 40. Haina complication. Ni simple kabisa.
#MaendeleoHayanaChama