Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Mwongozo uliotolewa ni wale wote wenye sifa na waliotimiza vigezo kupelekwa kwenye halmashauri na kata zao ili wafanyiwe usaili!
Lakini kwa halmashauri ya Korogwe mjini Hali ni tofauti kwani tayari nafasi za Wasimamizi wa sensa viongozi wameshaweka watu wao!
Na mbaya zaidi Kuna waliotimiza vigezo ambao hawajaitwa kwenye usaili! Tafadhali sana watu wa takukuru na NBS pigeni kambi ndogo Korogwe mjini.
Hata huu usaili ni kiini macho tu.
Aibu sana