Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Kumbe laki tano😅Laki 5 imeleta machafuko mtandaoni
KimeuManaLaki 5 imeleta machafuko mtandaoni
Ivi 500,000 inapatikana kwenye seminar au sensa yenyeweLaki 5 imeleta machafuko mtandaoni
NBS wamekosea sanaa kuwa kabidhi halmashauri ili zoezi ...halmashaurinozo huko ndio **** rafu zinachezwaaMwongozo uliotolewa ni wale wote wenye sifa na waliotimiza vigezo kupelekwa kwenye halmashauri na kata zao ili wafanyiwe usaili!
Lakini kwa halmashauri ya Korogwe mjini Hali ni tofauti kwani tayari nafasi za Wasimamizi wa sensa viongozi wameshaweka watu wao!
Na mbaya zaidi Kuna waliotimiza vigezo ambao hawajaitwa kwenye usaili! Tafadhali sana watu wa takukuru na NBS pigeni kambi ndogo Korogwe mjini.
Hata huu usaili ni kiini macho tu.
Aibu sana
Tuwe tu wakweli, infekua ni wewe usingeeka ndugu yako?Mwongozo uliotolewa ni wale wote wenye sifa na waliotimiza vigezo kupelekwa kwenye halmashauri na kata zao ili wafanyiwe usaili!
Lakini kwa halmashauri ya Korogwe mjini Hali ni tofauti kwani tayari nafasi za Wasimamizi wa sensa viongozi wameshaweka watu wao!
Na mbaya zaidi Kuna waliotimiza vigezo ambao hawajaitwa kwenye usaili! Tafadhali sana watu wa takukuru na NBS pigeni kambi ndogo Korogwe mjini.
Hata huu usaili ni kiini macho tu.
Aibu sana
Hio ni semina tu bossIvi 500,000 inapatikana kwenye seminar au sensa yenyewe
Kumbe ni laki 5. Na baada ya sensa malipo yakoje?Hio ni semina tu boss
Wacha watu wauane ni si poa
Nilijua hizi nyuzi zitakua nyingi watu kufichua haya
Walitaka wapate hela za form za wanyonge waimarishe chama.Hii nchi ina mambo ya hovyo kiwngo cha pimbi kabisa wewe uliona wapi watu waameom a online majina yanatoka kwenye mbao za kata?
Ukijumlisha unaweza ondoka na kilo kuanzia saba inategemea dodosoKumbe ni laki 5. Na baada ya sensa malipo yakoje?
Nawewe toa rushwaMwongozo uliotolewa ni wale wote wenye sifa na waliotimiza vigezo kupelekwa kwenye halmashauri na kata zao ili wafanyiwe usaili!