Upendeleo wa Rais kwa Yanga unakwenda kuisambaratisha Yanga vipande (inafungwa na USM)

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Yamkini wachambuzi wa soka wameligundua hilo mapema lakini wanaogopa kusema.

Kinachofanywa na Rais dhidi ya Simba na yanga ni kama kulea watoto wawili wa kufikia kinafiki!

Mtoto wa kambo (simba ya champion) akiwa darasa la juu kabisa la ushindani (champion) anapewa motisha sawa sawa na mtoto wa chekechea (yanga ya shirikisho)
Wanasaikolojia kwenye hili watanielewa vizuri! MOTISHA Ya Rais kwenye timu hizi mbili ilichangia sana kushusha Saikolojia ya Simba na kupandisha Saikolojia ya Yanga!

Yanga walijikuta wanapata nguvu na ari ya kufanya vizuri hasa Walipocheza baada ya simba kucheza! (Yaani Simba akicheza Leo, basi iliwapa hamasa wao kucheza vizuri kesho yake)

Niwape mfano mwingine mtanielewa vizuri! Washindani wa bongo movie walivyokuwa wanashindana na KANUMBA tuliona ubora wao nyuma ya kanumba, lakini baada ya kanumba kufariki nao walifariki kifikra! Hii ni ishara walivuma kwa mgongo wa kanumba!
Na hivyo ndivyo itakuwa kwa yanga!

Kwanini nasema yanga wanaprndelewa?

1. Motisha ya goli la mama haikuzingatia hadhi ya ligi za timu hizo mbili hivyo mama kachangia kuangusha simba kisaikolojia ( strategic destruction theory)
2. Kama mlichunguza vizuri goli la mama alipadisha dau kuwa 10mil baada ya kuona simba kapangwa na Wydad Casablanca kwao kwa imani itafungwa, hivyo goli la mama lililenga kuwainua zaidi Yanga kimorali ili wapate kicheko! Lakini kwa vile MUNGU si athuman wala babu Kaju, Simba walifunga magoli ya penati ..ambayo mama aliyakataa kwamba yapo kinyume na motisha hivyo hakutoa pesa yoyote kwasababu goli ni kinyume ya mkataba!

3. Yanga katika mechi yake ya nyumbani na USM Alger baada ya simba kutolewa goli la mama lilipanda hadi 20m kwa sharti liwe ni goli la ushindi!
Na alitoa hivyo kwasababu alimamini tena Yanga wakiwa nyumbani lazima wangepata ushindi! Bahati mabaya Yanga ilipigwa na USM hivyo hawakustahili kupatiwa pesa ya mama! Lakini ajabu kudhihilisha upendeleo Pesa ya goli la mama ililipwa!
Swali mbona simba haikupewa goli la mama hata kama imefunga inje ya mkataba?

4. Mama yetu huyu amewapa yanga ndege na posho kusafiri kwenda kwenye mechi ya marudiano na USM ALGER!

Hili tunashukuru kwamba Yanga inawakilisha Taifa! Lakini bahati mbaya yanga inakwenda kupasuka vipande vipande kwasababu!

Kuwapa ndege Yanga kitaifa kunaishitua pia timu pinzani huko kitaifa wanajipanga zaidi!

Yanga alitakiwa kwenda kinyonge then akacheze kitaifa kama mbinu ya kuwapumbaza waione kibonde!
Walichokifanya ni sawa na kwenda na matarumbeta kumkamata mwizi!

Lakini hatushangai ni kwa vile yamefanyika hayo kimakosa kutokana na mahaba mazito ya mama hivyo tumekusanya mayai yote kwenye kapu moja la mahaba!

Katika ulimwengu wa Roho anaepatiwa nguvu ya ushindi huwa ni yule ambaye ushindi wake hamtukuzi zaidi mfalme kuliko Mungu!

Endapi Yanga ikishinda atapongezwa zaidi Mama na serikali halafu Mungu atakuwa wa tatu!

Kuna elimu moja ya kiroho inasema (Mungu huchomoza juu ya Miungu ili asitukuzwe kiungu - the superior power of the universe has its mutual choices)

Hivyo yanga inakwenda kupasuka pasuka vipande vipande kesho wamekwenda kwa vigeregere watarudi kwa makelele na huzuni!

Nimeandika haya mapema kabisa kabla ya mechi!

Wamekwenda kwa shangwe watarudi kinyonge!
 
Kikubwa wamefika fainali, ni nje ya malengo yao kabisa.

Hata wao hawakutegemea kufika hapo walipofika. Simba mnapapatuka bila sababu.

Goli ni goli tu haijalishi upo mashindano gani, angeongeza dau kwa simba bado yanga wangelalama tu.

Punguzeni ujuaji wa kijinga aisee mambo madogo tu haya mtu analalamika hatari.
Hiyo 10 M per goal ni kitu gani kwa timu yenye watu zaidi ya 30, watagawana vipi kama sio lakilaki tu ama wale msosi na kunywa.
 
Yamkini wachambuzi wa soka wameligundua hilo mapema lakini wanaogopa kusema.

Kinachofanywa na Rais dhidi ya Simba na yanga ni kama kulea watoto wawili wa kufikia kinafiki!

Mtoto wa kambo (simba ya champion) akiwa darasa la juu kabisa la ushindani (champion) anapewa motisha sawa sawa na mtoto wa chekechea (yanga ya shirikisho)
Wanasaikolojia kwenye hili watanielewa vizuri! MOTISHA Ya Rais kwenye timu hizi mbili ilichangia sana kushusha Saikolojia ya Simba na kupandisha Saikolojia ya Yanga!

Yanga walijikuta wanapata nguvu na ari ya kufanya vizuri hasa Walipocheza baada ya simba! (Yaani Simba akicheza Leo, basi iliwapa hamasa wao kucheza vizuri kesho yake)

Niwape mfano mwingine mtanielewa vizuri! Washindani wa Movie bongo muvie walivyokuwa wanashindana na KANUMBA tuliona ubora wao, lakini baada ya kanumba kufariki nao walifariki kifikra! Hii ni ishara walivuma kwa mgongo wa kanumba!

Kwanini nasema yanga wanaprndelewa?
1. Motisha ya goli la mama haikuzingatia hadhi ya ligi za timu hizo mbili hivyo mama kachangia kuangusha simba ( strategic destruction theory)
2. Kama mlichunguza vizuri goli la mama alibadisha dau kuwa 10mil baada ya kuona simba kapangwa na Wydad Casablanca kwao hivyo goli la mama lililenga kuwainua Yanga wapate kicheko! kwa vile MUNGU si athuman wala babu Kaju, Simba walifunga magoli ya penati ..ambayo mama aliyakataa kwamba yapo kinyume na motisha hivyo hakutoa pesa yoyote kwasababu goli ni kinyume ya mkataba!
3. Yanga katika mechi yake ya nyumbani na USM Alger baada ya simba kutolewa goli la mama lilipanda hadi 20m kwa sharti liwe ni goli la ushindi! Na alitoa hiyo kwasababu alimamini Yanga wakiwa nyumbani lazima wangepata ushindi! Bahati mabaya Yanga ilipigwa na USM hivyo hawakustahili kupatiwa pesa ya mama! Lakini ajabu Pesa ya goli la mama ililipwa! Swali mbona simba haikupewa goli la mama hata kama imefunga inje ya mkataba?
4. Mama yetu huyu amewapa yanga ndege na posho kusafiri kwenda kwenye mechi ya marudiano na USM ALGER! Hili tunashukuru kwamba Yanga inawakilisha Taifa! Lakini bahati mbaya yanga inakwenda kupasuka vipande vipande!

Kuwapa ndege Yanga kitaifa kunaishitua pia timu pinzani kitaifa!
Yanga alitakiwa kwenda kinyonge then akacheze kitaifa kama mbinu ya kuwapumbaza waione kibonde!

Bahati mbaya hilo halijazingatiwa kwa kutokana na mahaba mazito ya mama hivyo tumekusanya mayai yote kwenye kapu moja la mahaba!
Katika ulimwengu wa Roho pia anaepatiwa nguvu ya ushindi ni yule ambaye hamtegemei mwanadamu!
Yanga ikishinda atapongezwa Mama na serikali halafu Mungu atakuwa wa tatu!
Kuna elimu moja ya kiroho inasema (Mungu huchomoza juu ya Miungu ili asitukuzwe kiungu - t he superior power of the universe)

Hivyo yanga inakwenda kupasuka pasuka vipande vipande

Wanakwenda kwa shangwe watarudi kinyonge!
Kitendo Cha kumuita Bibi mama kinanikera sana
 
Kiufupi unaumia kwa mambo yasio na faida kwako. Kwani simba mlishindwa nn kufika yanga walipofika kwenye mashindano mliyokuepo?

kwahyo ulitaka simba wapewe kiasi gani cha pesa kiufupi yanga kajipanga na ni muda wake muacheni atambe apendelewe na nyie msimu ujao mama bado atakua raisi mjitahidi kufika yanga alipofika. Sisemi kwamba yanga mzuri sana au mama kampendelea hapana kajitahidi kwa kiwango chake hayo mambo ya kusema wanapendelewa mnajiumiza roho tu kwa kukosa taji lolote msimu huu mfano. Mfano kwenye betting magoli ya penati yanahesabiwa? Japo sifuatilii mpira ila jambo kama hilo linaeleweka pambaneni uwanjani ndani ya dakika husika mshinde mbali na hapo penati ni kama goli la mkono tu aka nyeto huwezi pata mtoto kwa kupiga nyeto vivyo hivyo huwezi pata hela za mama kwa magoli ya penati
 
Yamkini wachambuzi wa soka wameligundua hilo mapema lakini wanaogopa kusema.

Kinachofanywa na Rais dhidi ya Simba na yanga ni kama kulea watoto wawili wa kufikia kinafiki!

Mtoto wa kambo (simba ya champion) akiwa darasa la juu kabisa la ushindani (champion) anapewa motisha sawa sawa na mtoto wa chekechea (yanga ya shirikisho)
Wanasaikolojia kwenye hili watanielewa vizuri! MOTISHA Ya Rais kwenye timu hizi mbili ilichangia sana kushusha Saikolojia ya Simba na kupandisha Saikolojia ya Yanga!

Yanga walijikuta wanapata nguvu na ari ya kufanya vizuri hasa Walipocheza baada ya simba! (Yaani Simba akicheza Leo, basi iliwapa hamasa wao kucheza vizuri kesho yake)

Niwape mfano mwingine mtanielewa vizuri! Washindani wa Movie bongo muvie walivyokuwa wanashindana na KANUMBA tuliona ubora wao, lakini baada ya kanumba kufariki nao walifariki kifikra! Hii ni ishara walivuma kwa mgongo wa kanumba!

Kwanini nasema yanga wanaprndelewa?
1. Motisha ya goli la mama haikuzingatia hadhi ya ligi za timu hizo mbili hivyo mama kachangia kuangusha simba ( strategic destruction theory)
2. Kama mlichunguza vizuri goli la mama alibadisha dau kuwa 10mil baada ya kuona simba kapangwa na Wydad Casablanca kwao hivyo goli la mama lililenga kuwainua Yanga wapate kicheko! kwa vile MUNGU si athuman wala babu Kaju, Simba walifunga magoli ya penati ..ambayo mama aliyakataa kwamba yapo kinyume na motisha hivyo hakutoa pesa yoyote kwasababu goli ni kinyume ya mkataba!
3. Yanga katika mechi yake ya nyumbani na USM Alger baada ya simba kutolewa goli la mama lilipanda hadi 20m kwa sharti liwe ni goli la ushindi! Na alitoa hiyo kwasababu alimamini Yanga wakiwa nyumbani lazima wangepata ushindi! Bahati mabaya Yanga ilipigwa na USM hivyo hawakustahili kupatiwa pesa ya mama! Lakini ajabu Pesa ya goli la mama ililipwa! Swali mbona simba haikupewa goli la mama hata kama imefunga inje ya mkataba?
4. Mama yetu huyu amewapa yanga ndege na posho kusafiri kwenda kwenye mechi ya marudiano na USM ALGER! Hili tunashukuru kwamba Yanga inawakilisha Taifa! Lakini bahati mbaya yanga inakwenda kupasuka vipande vipande!

Kuwapa ndege Yanga kitaifa kunaishitua pia timu pinzani kitaifa!
Yanga alitakiwa kwenda kinyonge then akacheze kitaifa kama mbinu ya kuwapumbaza waione kibonde!

Bahati mbaya hilo halijazingatiwa kwa kutokana na mahaba mazito ya mama hivyo tumekusanya mayai yote kwenye kapu moja la mahaba!
Katika ulimwengu wa Roho pia anaepatiwa nguvu ya ushindi ni yule ambaye hamtegemei mwanadamu!
Yanga ikishinda atapongezwa Mama na serikali halafu Mungu atakuwa wa tatu!
Kuna elimu moja ya kiroho inasema (Mungu huchomoza juu ya Miungu ili asitukuzwe kiungu - t he superior power of the universe)

Hivyo yanga inakwenda kupasuka pasuka vipande vipande

Wanakwenda kwa shangwe watarudi kinyonge!
Taahira wewe
 
Kwani yana muda bas, kesho mashindano yanafika tamatii.
 
Kuwapa ndege Yanga kitaifa kunaishitua pia timu pinzani kitaifa!
Yanga alitakiwa kwenda kinyonge then akacheze kitaifa kama mbinu ya kuwapumbaza waione kibonde!
Tatizo unaongea na watu wanaopenda ubishi bila kuzingatia unachowaambia. Waache wapigwe hadi wachakae. Kipindi cha kwanza wakishapigwa 2, maafa yatafuata.
 
Back
Top Bottom