Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Tukutane saa 6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikwambia hawatokiTukutane saa 6
Pole sayansi haijawahi danganyaWabongo punguzeni uchawi na unafiki
Acha shobo do ya Tings Nigga!!!!
Hii nayo imeenda
Yanga imekufa kiume!Hahah haiwezekan hata siku moja atukuzwe mwanadam never! Kawaponza
Wameenda kibabe watarudi kinyonge! Majibu yote yapo kwenye Uzi!Hii nayo imeenda
Yamkini wachambuzi wa soka wameligundua hilo mapema lakini wanaogopa kusema.
Kinachofanywa na Rais dhidi ya Simba na yanga ni kama kulea watoto wawili wa kufikia kinafiki!
Mtoto wa kambo (simba ya champion) akiwa darasa la juu kabisa la ushindani (champion) anapewa motisha sawa sawa na mtoto wa chekechea (yanga ya shirikisho)
Wanasaikolojia kwenye hili watanielewa vizuri! MOTISHA Ya Rais kwenye timu hizi mbili ilichangia sana kushusha Saikolojia ya Simba na kupandisha Saikolojia ya Yanga!
Yanga walijikuta wanapata nguvu na ari ya kufanya vizuri hasa Walipocheza baada ya simba kucheza! (Yaani Simba akicheza Leo, basi iliwapa hamasa wao kucheza vizuri kesho yake)
Niwape mfano mwingine mtanielewa vizuri! Washindani wa bongo movie walivyokuwa wanashindana na KANUMBA tuliona ubora wao nyuma ya kanumba, lakini baada ya kanumba kufariki nao walifariki kifikra! Hii ni ishara walivuma kwa mgongo wa kanumba!
Na hivyo ndivyo itakuwa kwa yanga!
Kwanini nasema yanga wanaprndelewa?
1. Motisha ya goli la mama haikuzingatia hadhi ya ligi za timu hizo mbili hivyo mama kachangia kuangusha simba kisaikolojia ( strategic destruction theory)
2. Kama mlichunguza vizuri goli la mama alipadisha dau kuwa 10mil baada ya kuona simba kapangwa na Wydad Casablanca kwao kwa imani itafungwa, hivyo goli la mama lililenga kuwainua zaidi Yanga kimorali ili wapate kicheko! Lakini kwa vile MUNGU si athuman wala babu Kaju, Simba walifunga magoli ya penati ..ambayo mama aliyakataa kwamba yapo kinyume na motisha hivyo hakutoa pesa yoyote kwasababu goli ni kinyume ya mkataba!
3. Yanga katika mechi yake ya nyumbani na USM Alger baada ya simba kutolewa goli la mama lilipanda hadi 20m kwa sharti liwe ni goli la ushindi!
Na alitoa hivyo kwasababu alimamini tena Yanga wakiwa nyumbani lazima wangepata ushindi! Bahati mabaya Yanga ilipigwa na USM hivyo hawakustahili kupatiwa pesa ya mama! Lakini ajabu kudhihilisha upendeleo Pesa ya goli la mama ililipwa!
Swali mbona simba haikupewa goli la mama hata kama imefunga inje ya mkataba?
4. Mama yetu huyu amewapa yanga ndege na posho kusafiri kwenda kwenye mechi ya marudiano na USM ALGER!
Hili tunashukuru kwamba Yanga inawakilisha Taifa! Lakini bahati mbaya yanga inakwenda kupasuka vipande vipande kwasababu!
Kuwapa ndege Yanga kitaifa kunaishitua pia timu pinzani huko kitaifa wanajipanga zaidi!
Yanga alitakiwa kwenda kinyonge then akacheze kitaifa kama mbinu ya kuwapumbaza waione kibonde!
Walichokifanya ni sawa na kwenda na matarumbeta kumkamata mwizi!
Lakini hatushangai ni kwa vile yamefanyika hayo kimakosa kutokana na mahaba mazito ya mama hivyo tumekusanya mayai yote kwenye kapu moja la mahaba!
Katika ulimwengu wa Roho anaepatiwa nguvu ya ushindi huwa ni yule ambaye ushindi wake hamtukuzi zaidi mfalme kuliko Mungu!
Endapi Yanga ikishinda atapongezwa zaidi Mama na serikali halafu Mungu atakuwa wa tatu!
Kuna elimu moja ya kiroho inasema (Mungu huchomoza juu ya Miungu ili asitukuzwe kiungu - the superior power of the universe has its mutual choices)
Hivyo yanga inakwenda kupasuka pasuka vipande vipande kesho wamekwenda kwa vigeregere watarudi kwa makelele na huzuni!
Nimeandika haya mapema kabisa kabla ya mechi!
Wamekwenda kwa shangwe watarudi kinyonge!
Chezeni Mpira mufike fainali au uchukue kombe achana na utabiri au kumshambulia aliyekuzidi mafanikio au kujitapa na robo .Yamkini wachambuzi wa soka wameligundua hilo mapema lakini wanaogopa kusema.

Okay 👍🏿mim ni mshabiki wa yanga ila kusema za ukweli kule tunaenda kupigwa 3:0
Kuna shida Gani akiitwa bibi? Na Kwani wewe unapoita mama hili ndo jina lake? Kaka, dada, mama, baba, bibi, babu vyote sawa. Hakuna tusi hapo.Kitendo Cha kumuita Bibi mama kinanikera sana
Kapagawa kinyonge mpira unaumaKuna shida Gani akiitwa bibi? Na Kwani wewe unapoita mama hili ndo jina lake? Kaka, dada, mama, baba, bibi, babu vyote sawa. Hakuna tusi hapo.
Namikono mitupu bila kikombe,au wananenda kuonyesha kiatu cha mayeleYanga wamealikwa na Rais kesho wakale chakula IKULU
Sio mbaya...Yanga wamealikwa na Rais kesho wakale chakula IKULU
Mikono mitupuNamikono mitupu bila kikombe,au wananenda kuonyesha kiatu cha mayele
KuiwazajeWana rais mwenye akili Hersi endelea kuiwaza Yanga