Upendeleo wa Rais kwa Yanga unakwenda kuisambaratisha Yanga vipande (inafungwa na USM)

Huna kazi ya kufanya?
Kenge wewe
 
kwaiyo mnataka mama awafanyie nini ili mfike walau nusu fainali!
 
Hata kwenye semina mara nyingi poshi zunalipwa flat rate. Huwezi sema wewe una diploma posho laki 2 wa degree laki 3 hayupo hiyo
 
Kama michuano ina Hadhi tofauti mbona kote kila mkijitutumua mnaishia Robo fainali iwe Champions au Confederation?
 
UKO SAHIHI NIMEKUELEWA SANA, WANAOKUPONDA UWEZO WAO MDOGO WA KUCHAMBUA MAMBO.
 
Mimi naamin hata Simba / Namungo wangefika hapo serikali kuna namna ingefanya jambo....
 
Mimi ni Yanga damu na lialia ila huu ulioandika tukiacha ushabiki, ndiyo ukweli wenyewe. Basi tutakushambulia tuu kishabiki
 
sawa malaika kitengo cha mpira na muamuzi juu ya michezo
 
Binadamu hatuna jema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…