Upendeleo wa Rais kwa Yanga unakwenda kuisambaratisha Yanga vipande (inafungwa na USM)

Yanga watauelewa sasa ule msemo wa kufa kiume
 
Chezeni Mpira mufike fainali au uchukue kombe achana na utabiri au kumshambulia aliyekuzidi mafanikio au kujitapa na robo .

Historia ya yanga kwa Tanzania ni kubwa
Simba yenyewe imetokea kwa yanga angalia historia
 
Kitendo Cha kumuita Bibi mama kinanikera sana
Kuna shida Gani akiitwa bibi? Na Kwani wewe unapoita mama hili ndo jina lake? Kaka, dada, mama, baba, bibi, babu vyote sawa. Hakuna tusi hapo.
 
Kuna shida Gani akiitwa bibi? Na Kwani wewe unapoita mama hili ndo jina lake? Kaka, dada, mama, baba, bibi, babu vyote sawa. Hakuna tusi hapo.
Kapagawa kinyonge mpira unauma
 
Yanga wamealikwa na Rais kesho wakale chakula IKULU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…