Mwanamutapa
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 513
- 489
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Yanga kufika fainali ya CAFCC kwa mwaka 2023 lakini pia nachukua nafasi hii kutokubaliana na upendeleo wa dhahiri uliofanywa na Mama kwa klabu ya Yanga
Ni jambo la kushangaza Mama ana miaka 3 madarakani na katika muda huo kaikuta Simba ikishiriki mashindano haya ya kimataifa lakini hakufanya lolote kuwapa Simba motisha mpaka kasubiria Yanga wacheze hatua hizo ndipo akaanza kutoa motisha.
Kwa maana hiyo motisha za klabu ya Simba zilikuwa sababu ya Yanga kushiriki mathalani Simba aliposhiriki bila Yanga Jumba Jeupe lilikuwa kimya kusema chochote na Simba kujiendea peke yao kama Klabu lakini mara Yanga aliposhiriki ukawa ni wimbo eti anawakilisha taifa tena kombe la hadhi ya chini kuliko Simba. Swali la kujiuliza wakati Simba anashiriki haya makombe bila Yanga kuwepo aliwakilisha nini?
Simba ikiwa chini ya kiongozi mwanamke wakati ule tulitegemea Mama aone juhudi za mwanamke mwenzake katika medani za kimataifa lakini jambo la kushangaza Mama alikaa kimya sababu tu ilikuwa ni Simba. Wamekuja Yanga mara ikawa ni hadhi ya Taifa huyo Simba wakati anashiriki ilikuwa ni hadhi ya nini?
Ni muda wa wana Simba kupaza sauti kupinga mambo ya namna hii kuona upendeleo wa waziwazi iwapo viongozi wana wapenzi yao hatuyakatai lakini katika leadership unaangalia usawa na fact na hisia kuweka pembeni
Sisi kama Simba hatujafurahishwa na mistreatement ya Simba na upendeleo kwa Yanga toka Jumba Jeupe. Hapa viongozi wanatufundisha nini sasa? Mambo ya kukatishana tamaa na kupeana upendeleo usio stahili, treatment lazima ziwe sawa kuleta afya katika jamii na siyo kuleta upenzi na hisia hiyo siyo leadership
Wasalaam