Mwanamutapa
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 513
- 489
- Thread starter
- #21
Mama usitufokeee!! Hizo hela sio za kwako. Ni za kwetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama usitufokeee!! Hizo hela sio za kwako. Ni za kwetu
Daaash too deepMkuu usihangaike. Historia inasema Ukiona Yanga inafanya vzuri ujue ni Kipindi ambacho Tanzania ina Ufisadi Mkubwa na Uongozi legelege. Rejea zama za Manji, RICHMOND, EPA nk na Sasa GSM ni Uhujumu Uchumi na mara nyingi wanaitumia kujificha uchafy wao. So kama mwanaSimba stay happy Nchi akipewa mwenye maono na Msafi Mnyama atapeta tuuu
Kikosi Bora kilichofurushwa hatua za makundi CCL! Shit.Mlivyowaokota wale vibonde million 5 Mara 7 mlichukuwa million ngapi za mama? Au unajizima rada?
Tatizo huna kumbukumbu, Simba imechukuwa pesa za mama kwa vipers nje ndani, million 10, kwa wale vibonde goli 7/pigs hesabu mwenyewe, kwenye robo fainali kwa Mkapa Wydad goli moja million 10 na safari yenu ikaishia hapo mwakarobo.
Yanga imesonga mbele mpaka fainali ni kwa nini mnaumia? Kwa nini nguvu hizi msitumie kusajili kikosi bora kama ilivyofanya Yanga baada ya misimu minne ya maumivu?
Simba alishacheza fainali za makombe haya ya kichovu. Always Simba huanza . Unaongelea miaka 30 iliyopita ndiyo umelipa mwaka huuSi mfike fainali na nyinyi?
Plan changes. Mwaka huu motisha imetoka. Pamoja na kumotishwa kenge fc wamekula guluguja kama wanavyokulagaMleta mada ana hoja ya msingi msijizime data, anasema Samia alipoingia ikulu aliwakuta Simba kwenye mashindano mbona hakutoa motisha?
Kwanini motisha imeanza kutolewa this time, huku mtaani tunaamini msoga wanahusika moja kwa moja kwenye hili, mapenzi yao kwa utopolo ndio wanamshawishi Samia aibebe timu yao wanayoipenda.
Miaka 30 iliyopita mama samia yupo shule.Simba alishacheza fainali za makombe haya ya kichovu. Always Simba huanza . Unaongelea miaka 30 iliyopita ndiyo umelipa mwaka huu
WEWE NA ANDAZI BORA ANDAZINachukua nafasi hii kuwapongeza Yanga kufika fainali ya CAFCC kwa mwaka 2023 lakini pia nachukua nafasi hii kutokubaliana na upendeleo wa dhahiri uliofanywa na Mama kwa klabu ya Yanga
Ni jambo la kushangaza Mama ana miaka 3 madarakani na katika muda huo kaikuta Simba ikishiriki mashindano haya ya kimataifa lakini hakufanya lolote kuwapa Simba motisha mpaka kasubiria Yanga wacheze hatua hizo ndipo akaanza kutoa motisha.
Kwa maana hiyo motisha za klabu ya Simba zilikuwa sababu ya Yanga kushiriki mathalani Simba aliposhiriki bila Yanga Jumba Jeupe lilikuwa kimya kusema chochote na Simba kujiendea peke yao kama Klabu lakini mara Yanga aliposhiriki ukawa ni wimbo eti anawakilisha taifa tena kombe la hadhi ya chini kuliko Simba. Swali la kujiuliza wakati Simba anashiriki haya makombe bila Yanga kuwepo aliwakilisha nini?
Simba ikiwa chini ya kiongozi mwanamke wakati ule tulitegemea Mama aone juhudi za mwanamke mwenzake katika medani za kimataifa lakini jambo la kushangaza Mama alikaa kimya sababu tu ilikuwa ni Simba. Wamekuja Yanga mara ikawa ni hadhi ya Taifa huyo Simba wakati anashiriki ilikuwa ni hadhi ya nini?
Ni muda wa wana Simba kupaza sauti kupinga mambo ya namna hii kuona upendeleo wa waziwazi iwapo viongozi wana wapenzi yao hatuyakatai lakini katika leadership unaangalia usawa na fact na hisia kuweka pembeni
Sisi kama Simba hatujafurahishwa na mistreatement ya Simba na upendeleo kwa Yanga toka Jumba Jeupe. Hapa viongozi wanatufundisha nini sasa? Mambo ya kukatishana tamaa na kupeana upendeleo usio stahili, treatment lazima ziwe sawa kuleta afya katika jamii na siyo kuleta upenzi na hisia hiyo siyo leadership
Wasalaam
Rage ana mademu wengi sana huko utopolo hawaishi kumsifiaRage ajengewe sanamu Msimbazi, mambumbumbu yameamuwa kuprove kauli ya Rage.
Waulize wanaojuwa mpira Simba imepewa ndege Mara ngapi?
Je ni mama ndio amezuia Simba isifike fainali?
Fuseeeki.
Kwa kweliiiiMama ni Yanga
Mbona iko wazi na inafahamikaa. Wala sio siri.Mleta mada ana hoja ya msingi msijizime data, anasema Samia alipoingia ikulu aliwakuta Simba kwenye mashindano mbona hakutoa motisha?
Kwanini motisha imeanza kutolewa this time, huku mtaani tunaamini msoga wanahusika moja kwa moja kwenye hili, mapenzi yao kwa utopolo ndio wanamshawishi Samia aibebe timu yao wanayoipenda.
Tatizo kipigo cha jana kimekuvurugaa ubongoo, hebu soma vizurii post na ueleweee. KhaaaaahMlivyowaokota wale vibonde million 5 Mara 7 mlichukuwa million ngapi za mama? Au unajizima rada?
Tatizo huna kumbukumbu, Simba imechukuwa pesa za mama kwa vipers nje ndani, million 10, kwa wale vibonde goli 7/pigs hesabu mwenyewe, kwenye robo fainali kwa Mkapa Wydad goli moja million 10 na safari yenu ikaishia hapo mwakarobo.
Yanga imesonga mbele mpaka fainali ni kwa nini mnaumia? Kwa nini nguvu hizi msitumie kusajili kikosi bora kama ilivyofanya Yanga baada ya misimu minne ya maumivu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi umechachukaa vibayaa weeKusomea kubishana Yanga na Simba.
Kwahiyo yule shetani Magufuli ndio Simba mwenzenu?Mkuu usihangaike. Historia inasema Ukiona Yanga inafanya vzuri ujue ni Kipindi ambacho Tanzania ina Ufisadi Mkubwa na Uongozi legelege. Rejea zama za Manji, RICHMOND, EPA nk na Sasa GSM ni Uhujumu Uchumi na mara nyingi wanaitumia kujificha uchafy wao. So kama mwanaSimba stay happy Nchi akipewa mwenye maono na Msafi Mnyama atapeta tuuu
Du! Wewe jamaa una gubu na wivu balaaNachukua nafasi hii kuwapongeza Yanga kufika fainali ya CAFCC kwa mwaka 2023 lakini pia nachukua nafasi hii kutokubaliana na upendeleo wa dhahiri uliofanywa na Mama kwa klabu ya Yanga
Ni jambo la kushangaza Mama ana miaka 3 madarakani na katika muda huo kaikuta Simba ikishiriki mashindano haya ya kimataifa lakini hakufanya lolote kuwapa Simba motisha mpaka kasubiria Yanga wacheze hatua hizo ndipo akaanza kutoa motisha.
Kwa maana hiyo motisha za klabu ya Simba zilikuwa sababu ya Yanga kushiriki mathalani Simba aliposhiriki bila Yanga Jumba Jeupe lilikuwa kimya kusema chochote na Simba kujiendea peke yao kama Klabu lakini mara Yanga aliposhiriki ukawa ni wimbo eti anawakilisha taifa tena kombe la hadhi ya chini kuliko Simba. Swali la kujiuliza wakati Simba anashiriki haya makombe bila Yanga kuwepo aliwakilisha nini?
Simba ikiwa chini ya kiongozi mwanamke wakati ule tulitegemea Mama aone juhudi za mwanamke mwenzake katika medani za kimataifa lakini jambo la kushangaza Mama alikaa kimya sababu tu ilikuwa ni Simba. Wamekuja Yanga mara ikawa ni hadhi ya Taifa huyo Simba wakati anashiriki ilikuwa ni hadhi ya nini?
Ni muda wa wana Simba kupaza sauti kupinga mambo ya namna hii kuona upendeleo wa waziwazi iwapo viongozi wana wapenzi yao hatuyakatai lakini katika leadership unaangalia usawa na fact na hisia kuweka pembeni
Sisi kama Simba hatujafurahishwa na mistreatement ya Simba na upendeleo kwa Yanga toka Jumba Jeupe. Hapa viongozi wanatufundisha nini sasa? Mambo ya kukatishana tamaa na kupeana upendeleo usio stahili, treatment lazima ziwe sawa kuleta afya katika jamii na siyo kuleta upenzi na hisia hiyo siyo leadership
Wasalaam
Tena sanaDu! Wewe jamaa una gubu na wivu balaa