Upendeleo wa wazi kwa Yanga si mzuri kwa tasnia ya mchezo wa soka nchini

Mkuu usihangaike. Historia inasema Ukiona Yanga inafanya vzuri ujue ni Kipindi ambacho Tanzania ina Ufisadi Mkubwa na Uongozi legelege. Rejea zama za Manji, RICHMOND, EPA nk na Sasa GSM ni Uhujumu Uchumi na mara nyingi wanaitumia kujificha uchafy wao. So kama mwanaSimba stay happy Nchi akipewa mwenye maono na Msafi Mnyama atapeta tuuu
 
Kweli kabisa halafu anafanya upendeleo. Mambo ya ajabu sana wangekuwa ni Yanga kelele zake tungeshika adabu. Simba ustraabu mmezidi
 
Daaash too deep
 
Kikosi Bora kilichofurushwa hatua za makundi CCL! Shit.
 
Plan changes. Mwaka huu motisha imetoka. Pamoja na kumotishwa kenge fc wamekula guluguja kama wanavyokulaga
 
WEWE NA ANDAZI BORA ANDAZI
 
Rage ajengewe sanamu Msimbazi, mambumbumbu yameamuwa kuprove kauli ya Rage.

Waulize wanaojuwa mpira Simba imepewa ndege Mara ngapi?

Je ni mama ndio amezuia Simba isifike fainali?

Fuseeeki.
Rage ana mademu wengi sana huko utopolo hawaishi kumsifia
 
Mbona iko wazi na inafahamikaa. Wala sio siri.
 
Tatizo kipigo cha jana kimekuvurugaa ubongoo, hebu soma vizurii post na ueleweee. Khaaaaah
 
Kwahiyo yule shetani Magufuli ndio Simba mwenzenu?
 
Du! Wewe jamaa una gubu na wivu balaa
 
Una hoja mkuu. Halafu pale kifuani tumeweka Visit Tanzania tangu msimu uliopita lakini wala hakukuwa na motisha. Msimu ujao Bora pabaki wazi kama hakutakuwa na mdhamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…