mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Ni ngumu mteja wa Luc Eymael kukuelewa.wana vichwa vya kuku hao.Tusijibu kama hatuna uelewa. Naongelea seasons alizokuwa anacheza Simba bila Yanga kuwepo Mama alitoa pesa? Talking back 2022 na 2021. Mpaka Yanga aje ndipo motisha zitoke? Mambo ya ajabu sana haya
Yanga kapata motisha kubwa kuanzia nusu fainal, nyie mliishia hatua gani?Mleta mada ana hoja ya msingi msijizime data, anasema Samia alipoingia ikulu aliwakuta Simba kwenye mashindano mbona hakutoa motisha?
Kwanini motisha imeanza kutolewa this time, huku mtaani tunaamini msoga wanahusika moja kwa moja kwenye hili, mapenzi yao kwa utopolo ndio wanamshawishi Samia aibebe timu yao wanayoipenda.
Jibu kutumia akili hizo fedha alizoanza kutoa mama alipewa Yanga pekee? Simba hakuwa akipewa ? Alikuwa nusu final? Hoja ni kwamba why Mama aanze mwaka huu baada ya Yanga kuchomoka makundi ya CAFCC wakati Simba kafanya vile miaka miwili mfulilizo kabla ya Yanga na hatujuona fedha toka kwa Mama? Ina maana Simba aliwakilisha Congo-Zaire? Au kupewa Simba fedha kimataifa mpaka Yanga wawepo? Upuuzi huuuYanga kapata motisha kubwa kuanzia nusu fainal, nyie mliishia hatua gani?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Una akili za kuvukia barabara tu.Jibu kutumia akili hizo fedha alizoanza kutoa mama alipewa Yanga pekee? Simba hakuwa akipewa ? Alikuwa nusu final? Hoja ni kwamba why Mama aanze mwaka huu baada ya Yanga kuchomoka makundi ya CAFCC wakati Simba kafanya vile miaka miwili mfulilizo kabla ya Yanga na hatujuona fedha toka kwa Mama? Ina maana Simba aliwakilisha Congo-Zaire? Au kupewa Simba fedha kimataifa mpaka Yanga wawepo? Upuuzi huuu
Na umekqzania nusu fainali ipi hii ya SHIRIKISHO? Robo fainali Klabu Bingwa ni bora kuliko fainali SHIRIKISHO maana timu kubwa kama Madrid au Milan ni bora zicheze robo Klabu Bingwa kuliko fainali Euroa makombe ya kichovu ya Seville
💯✅Mlivyowaokota wale vibonde million 5 Mara 7 mlichukuwa million ngapi za mama? Au unajizima rada?
Tatizo huna kumbukumbu, Simba imechukuwa pesa za mama kwa vipers nje ndani, million 10, kwa wale vibonde goli 7/pigs hesabu mwenyewe, kwenye robo fainali kwa Mkapa Wydad goli moja million 10 na safari yenu ikaishia hapo mwakarobo.
Yanga imesonga mbele mpaka fainali ni kwa nini mnaumia? Kwa nini nguvu hizi msitumie kusajili kikosi bora kama ilivyofanya Yanga baada ya misimu minne ya maumivu?
bosi kwahio caf hawana uelewa kuweka Hilo kombe la cafcc na Bingwa wake kucheza na Bingwa wa champions league ?Unaposema fainali kwanza mashindano yapi? Hukuwa na Simba klabu Bingwa Afrika? Ulitolewa huko lini? Ukaponea kanuni za CAF kwenda kucheza kwa wabovu unaropola nini? Kuna timu yeyote ya maana umecheza nayo huko uchovuni?
Unacheza kama second chance umefikaje huko wachovu cup? Kwa kutolewa Klabu Bongwa hoja yako ni ipi?bosi kwahio caf hawana uelewa kuweka Hilo kombe la cafcc na Bingwa wake kucheza na Bingwa wa champions league ?
Na hawana uelewa kuweka mashindano ya abiola simba waliyofika fainali ?
Akili ndogo za kinyaninyani ama kweli nyani ni nyani tu. Simba kacheza nusu fainali Klabu Bingwa Afrika mwaka 1974 na kutolewa na Mehala Al Kubra walioenda kuwa mabingwa mwaka huo. Wewe Yanga nusu fainali Klabu Bingwa Afrika umewahi kucheza lini? Tumbili bhana wako kitumbilitumbili na juu ya Wachovu Cup Simba kacheza fainali mwaka 1993 imekuchukua miaka 30 kureplicate record. Wajinga ni wajinga tu unahoji mambo yapo mpaka google? Akili huna hata kuangaliazia? Au sababu nyani ni nyani tuHuyo Simba lini aliwahi kufika hata Nusu Fainali katika michuano mikubwa ya bara la Afrika? Kweli madunduka ni madunduka
Ambazo ni za kibinadamu kuliko nyani na tumbili. Akili zenu mshipa wake umeunganishwa na mshipa wa matako
Muulize tena Amekula??Mkuu hebu wahi kazini kwanza maana unapoteza muda kuonesha ni jinsi gani kichwa chako kimejaa hewa ukaa.
Mishipa ya akili ndio nini, acha ushambenga.Ambazo ni za kibinadamu kuliko nyani na tumbili. Akili zenu mshipa wake umeunganishwa na mshipa wa matako
Acha upendeleo wa wazi namna hiyo mazaKila kitu na wakati wake. Rais ana maamuzi mengi sana yakufanya , siyo kama yako, mwenzangu namie, hatuwashi hatuzimi👇🏾
View attachment 2638982
Tatizo aio fainali, tatizo fainali hii haina vigezo maana wanacheza vilaza waliofeli,maluza hapo ndio kwenye shida,ingekuwa ligi ya mabingwa sawaRage ajengewe sanamu Msimbazi, mambumbumbu yameamuwa kuprove kauli ya Rage.
Waulize wanaojuwa mpira Simba imepewa ndege Mara ngapi?
Je ni mama ndio amezuia Simba isifike fainali?
Fuseeeki.
Yule mporipori hata mpira wenyewe alikuwa haujuiKwahiyo yule shetani Magufuli ndio Simba mwenzenu?
Wafundishwe juu ya failure? Miaka 25 haupo Klabu Bingwa ufundishwe nini? Wachovu Cup bhana dahYanga ifundishwe mashuleni, somo mahsusi kuanzia la kwanza mpaka form six