Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?

Aaaah namuonaga kwenye midahalo ITV...determination yake kweny mambo mbalimbali ni kubwa kwa mustakali wa taifa letu!!!
 
Naona Peneza umeanza kampeni kabla ya muda wa kampeni, hii ni kinyume na kanuni za uchaguzi.

Kwa post hii, itachukuliwa kuwa ni ukiukwaji wa Katiba na kanuni za Chama. Utaenguliwa kwa kuamua kuanza kampeni kabla ya Muda.

Kama unajiamini unaweza kuwa M/Kiti wa BAVICHA ungesjbiria uchaguzi Mkuu wa BAVICHA mwezi ujao na hapa JF sio sehemu sahihi ya kujinadi. Acha hii mapema kwa kuwa Chama kimekua na kinaendeshwa kwa mujibu wa Katiba.
 
Akigombea afuatiliwe zaidi alipozaliwa,aliposoma,wazazi wake nk
Tatizo sio alipozaliwa, tatizo ni mtazamo wake na anachokiamini. CDM wawe makini maana feeling zake kwa Kagame hazifichiki. Huyo muache aendelee kuwa raia mwema tu na sio kumuingiza kwenye sehemu sensitive kama uongozi wa kisiasa.
 
Kwao ni Geita lkn wazazi wake wapo Kaluta-Mwanza!Hana chembechembe zozote hata za kinasaba na Rwanda!
Sijui lolote kuhusu mustakabali wake kwenye mahusiano maana hajawahi andika kuhusu hayo!
Mmh! Mkuu una uhakika hana uhusiano wowote na Rwanda! hebu jaribu kumfuatilia vizuri, maana hili eneo la mashariki mwa Afrika lina matatizo. Makosa yanayoweza kufanyika leo yatawagharimu kama si watoto wako basi wajukuu.
 
Mmh! Mkuu una uhakika hana uhusiano wowote na Rwanda! hebu jaribu kumfuatilia vizuri, maana hili eneo la mashariki mwa Afrika lina matatizo. Makosa yanayoweza kufanyika leo yatawagharimu kama si watoto wako basi wajukuu.

Mkuu tukanza kufuatilia babu na babu zetu walitoka wapi basi hata ww huenda utakuja kugundua kuwa kwenu ni Karonga-Malawi!

Kinacho angaliwa ni generation yake kwa babu na bibi yake then wazazi wake walizaliwa wapi?Huyu ni msukuma kwa wazazi wote wawili
 
Tatizo langu haliko kwenye Mababu zake, tatizo liko kwenye mtazamo wake. Mfano ktk mgogoro wa ziwa nyasa mie nikiwa nasupport madai ya Malawi mzalendo yeyote ana haki ya kunitilia shaka uzalendo wangu. Huyo mie nina wasiwasi nae, ila kama CDM hawachoki kuwajenga vijana halafu wakageukwa basi waendelee kuzoazoa watu bila mchujo wa kina.
 
Si ni yule binti mrefu mwembamba mrembo ana pua za kitutsi ambaye kwasasa ni mbunge viti maalum na kuna wakati waliingia kwenye malumbano na mlopokaji Joseph Kasheko (Musukuma) kwa madai jamaa alikuwa anampiga sound awe mchepuko wake?

Kama ndiye basi ni kweli yupo vizuri sana ingawa kimtazamo wangu kwa nafasi nyeti kama hii ya uenyekiti baraza la vijana naona kama bado kidogo aendelee kupata experience kwanza
 
Kuna watu wanasema huyo mbunge ni darasa la saba, je, ni kweli? Nimefungua tovuti ya bunge, hakuna kilichowekwa kwenye CV yake.

She looks smart upstairs, kwamba yeye ni timu kibajaji na msukuma? Siamini.

Mwezi machi mwaka huu msukuma alimchana kuwa huyo mrembo ni timu la 7 nikadhani ugomvi binafsi.

Nimeshindwa kuweka hiyo link humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…