barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Ni la saba ila kapiga elimu za hapa na pale hivyo kajisogeza kidogo upstairs.Kuna watu wanasema huyo mbunge ni darasa la saba, je, ni kweli? Nimefungua tovuti ya bunge, hakuna kilichowekwa kwenye cv yake.
She looks smart upstairs,, kwamba yeye ni timu kibajaji na msukuma?? Siamini.
Mwezi machi mwaka huu msukuma alimchana kuwa huyo mrembo ni timu la 7..nikadhani ugomvi binafsi. Nimeshindwa kuweka hiyo link humu