Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?

Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?

Hao jamaa walinichekesha sana kwenye ile interview waliyoifanya kwenye kituo cha KTN nchini Kenya.

Baadhi ya maneno mtangazaji alikua anakosea lakini wabunge walishindwa kurekebisha. Ha ha ha

...But yet wameweza kugombea na kuchaguliwa kuwa wabunge, wewe unayewacheka possibly hujawahi hata kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Kitongoji, which means that huna ushawishi wowote kwa jamii inayokuzunguka.
 
Alipata division ngapi?? Nimeperuse 2007 Green Acres results za ACSE sijaona kitu.


Matokeo yake wewe yanakusaidia nini??
Tazama matendo yake kama ni ya kisomi inatosha?
Hata Ukiwa na PHD lakini ukiwa unafanya mambo ya kijinga elimu inakuwa haijakusaidia kitu
 
Matokeo yake wewe yanakusaidia nini??
Tazama matendo yake kama ni ya kisomi inatosha?
Hata Ukiwa na PHD lakini ukiwa unafanya mambo ya kijinga elimu inakuwa haijakusaidia kitu
Point yako ni nini haswa??
 
Na anaonekana msomi kwa kiwango cha elimu kwa wabunge wengi wa Chadema mfano Mbowe,Sugu,Kubenea, Lema nk.In short hamna mkataba wa kiingereza unaosainiwa chadema bila kuupitia Upendo kwanza
Eti???? What
 
Na anaonekana msomi kwa kiwango cha elimu kwa wabunge wengi wa Chadema mfano Mbowe,Sugu,Kubenea, Lema nk.In short hamna mkataba wa kiingereza unaosainiwa chadema bila kuupitia Upendo kwanza
Umewasahau Kibajaji, Msukuma, Deo Sanga
 
Nyote ni hao hao na wewe. michango yako humu inaonyesha hata kama una University education/credentials ni kutoka vyuo vya kata... a very very low reasoning!
Ungepita kimya ningekuelewa, uko more dense zaidi, ila hujui hilo.
 
Hata angekuwa darasa la pili c swala ni kwamba jeee? Anaelimu ya uraia kichwani au na yeye mbumbumbu kama ma Dr wetu wengi? Elimu ya cheti ni 0 kama hakuna elimu kichwan , usomi wa makaratasi hauwwzi ku determine kiwango cha ukimavu wa fikrawa mtuu , na walio liingiza taifa hasara ndio hao hao wanao jiita wasomi wa vyeti , idiot

Na ndio maana mkuu wa mkoa DAR inasemekana elimu yake magumashi lakin ni mbunifu kuliko hata hizi PhD zenu
bashite ni mbunifu wa kitu gani-ubunifu ni ideas kwa mazingira ya kidunia ya sasa huna elimu huwezi kuwa mbunifu
 
Na anaonekana msomi kwa kiwango cha elimu kwa wabunge wengi wa Chadema mfano Mbowe,Sugu,Kubenea, Lema nk.In short hamna mkataba wa kiingereza unaosainiwa chadema bila kuupitia Upendo kwanza
Acheni maneno ya kebehi tuwe tu wakweli huyu binti ana uwezo mkubwa sana
 
Watu wengine, mnaacha kuangalia maisha yenu unaanza kumchunguza mtu elimu yake, kasoma wapi kafikia wapi, usipoteza muda kumfikiria mtu mwingine, fikiria ya kwako na familia/ wazazi wako.
sababu ni kiongozi uongozi wake una determine maisha ya familia yako
 
Acheni maneno ya kebehi tuwe tu wakweli huyu binti ana uwezo mkubwa sana
Ndio maana tumeuliza elimu yake, huyu ni wa kipekee, kachemka sehemu moja ktk press!! Anadai wananunuliwa ila haweki ushahidi.
 
...But yet wameweza kugombea na kuchaguliwa kuwa wabunge, wewe unayewacheka possibly hujawahi hata kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Kitongoji, which means that huna ushawishi wowote kwa jamii inayokuzunguka.
[emoji119] [emoji119] alirudi tena?
 
Back
Top Bottom