Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?

Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?

Hiyo sio shida, bora anajielewa NA fanya kazi vizuri, elimu ni kubahatika, pengine wazazi wake hawakua NA uwezo ama hawakumuendeleza.
 
Hapa ndio tunajua manyumbu hamtaki watu wawulize CV zenu hasa ya viongozi wenu ,,ila za watu mnazililia kama hoja shubamiti
Mie wala simo kwenye kundi la nyumbu maana wenyewe wapo huko serengeti huko sidhan kama hata technology wanaijua na mimi ukitaka cv yangu nakupa bila hiyana na nadhan yakwako itaingia zaid ya mara 10 hivyo wala usiwe nahofu
 
Kwa kumbukumbu zangu katika episode moja ya maishaplus niliwahi msikia akigusia suala la kwenda kusoma open university so it's obvious atakuwa at least kamaliza form four
Watu wengine, mnaacha kuangalia maisha yenu unaanza kumchunguza mtu elimu yake, kasoma wapi kafikia wapi, usipoteza muda kumfikiria mtu mwingine, fikiria ya kwako na familia/ wazazi wako.
 
Kuna watu wanasema huyo mbunge ni darasa la saba, je, ni kweli? Nimefungua tovuti ya bunge, hakuna kilichowekwa kwenye CV yake.

She looks smart upstairs, kwamba yeye ni timu kibajaji na msukuma? Siamini.

Mwezi machi mwaka huu msukuma alimchana kuwa huyo mrembo ni timu la 7 nikadhani ugomvi binafsi.

Nimeshindwa kuweka hiyo link humu.
kama std 7 kuna shida gani?
 
Alipata ngapi?
Ila niliwahi mkuta Open pale Udsm sijui alikuwa anafanya mini?
Sikumbuki alipata ngapi ila siyo one,zero wala four.ni kati ya two na three,alisoma PCB.Baada ya hapo sijui alienda wapi,nilikutana naye badaye maeneo ya mbezi na badaye nikamuona Maisha plus.
 
Na anaonekana msomi kwa kiwango cha elimu kwa wabunge wengi wa Chadema mfano Mbowe,Sugu,Kubenea, Lema nk.In short hamna mkataba wa kiingereza unaosainiwa chadema bila kuupitia Upendo kwanza
Na hakuna mkataba wowote wa kiingereza wa chama chenu bila Ngosha kuupitia,,maana nae ni nguri wa lugha ya kiingereza nasikia eti
 
Kuna watu wanasema huyo mbunge ni darasa la saba, je, ni kweli? Nimefungua tovuti ya bunge, hakuna kilichowekwa kwenye CV yake.

She looks smart upstairs, kwamba yeye ni timu kibajaji na msukuma? Siamini.

Mwezi machi mwaka huu msukuma alimchana kuwa huyo mrembo ni timu la 7 nikadhani ugomvi binafsi.

Nimeshindwa kuweka hiyo link humu.
Hata kama ni std7 afadhali jina la kwake na elimu ya kwake kuliko yule muhujumu elimu.
 
Kweli ukiangalia uwezo wake wa kufikiri, confidence na busara huenda akawa STD VII.
Na hili lituamshe kuwa shule zingine tunaenda kusoma ujinga maana la saba kama wako smart hivi ni kielelezo kizuri. By the way hii ni 'product' ya Masoud Kipanya kupitia Maisha Plus kielelezo kwamba Watz wenye akili wamo.
 
Na hakuna mkataba wowote wa kiingereza wa chama chenu bila Ngosha kuupitia,,maana nae ni nguri wa lugha ya kiingereza nasikia eti
Upande huu lugha imelala ,cabinet pekee ina degree 107 kwa ujumla,Magu,Kabudi,Mpango,Makame,NDALICHAKO,Mwigulu the list goes on and on
 
Kuna watu wanasema huyo mbunge ni darasa la saba, je, ni kweli? Nimefungua tovuti ya bunge, hakuna kilichowekwa kwenye CV yake.

She looks smart upstairs, kwamba yeye ni timu kibajaji na msukuma? Siamini.

Mwezi machi mwaka huu msukuma alimchana kuwa huyo mrembo ni timu la 7 nikadhani ugomvi binafsi.

Nimeshindwa kuweka hiyo link humu.
Kwa nia njema muulize yeye mwenyewe?
 
Watu wengine, mnaacha kuangalia maisha yenu unaanza kumchunguza mtu elimu yake, kasoma wapi kafikia wapi, usipoteza muda kumfikiria mtu mwingine, fikiria ya kwako na familia/ wazazi wako.
Hapo ukute kula yake tu ya taabu, Lakini anataka kujua elimu ya mwenzie, ,,
 
Back
Top Bottom