Upendo Kilahiro afunga ndoa ya pili

Upendo Kilahiro afunga ndoa ya pili

Kigger

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
850
Reaction score
772
IMG_1282.JPG
awali alifunga ndoa yake ya kwanza na mpenzi wake amon na kupata mtoto mmoja lakini hivi sasa amefunga ndoa tena na mtu mwingine


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yaani humu kuna watu huwa wanakurupuka kuanzisha nyuzi za ajabu kweli.!
Utakuta mtu anaandika habari inayomhusu jirani yake halafu anafikiri watu wote humu wanamjua

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni dhihaka, hyu ni mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili maarufu na wakitambo sana, labda uwe umetoka bush juzi ndio unaweza ukashindwa kumjua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani humu kuna watu huwa wanakurupuka kuanzisha nyuzi za ajabu kweli.!
Utakuta mtu anaandika habari inayomhusu jirani yake halafu anafikiri watu wote humu wanamjua

Sent using Jamii Forums mobile app

uyu ni sanii wa gospel anaitwa upendo kilahiro ameimba nyimbo nyingi lakini huu mtakua mnaujua BABA NINA kUABUDU na nyingine nyingi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi ndio namwona leo kwa sura aisee mbona wanawehuka. shida ni kwamba huwa wanaoana wakiwa bado wasichana wadogo hawajajua mji wakiimba na kujulikana basi wanaona wale wanaume hawawafai tena. Florah Mbasha nae siku hizi yuko na Kiben 10 chake ana shida gani wala sisikii akiimba tena ha haha all the best
 
Mimi ndio namwona leo kwa sura aisee mbona wanawehuka. shida ni kwamba huwa wanaoana wakiwa bado wasichana wadogo hawajajua mji wakiimba na kujulikana basi wanaona wale wanaume hawawafai tena. Florah Mbasa nae siku hizi yuko na Kiben 10 chake ana shida gani wala sisikii akiimba tena ha haha all the best
Hivi Christina Shusho ameolewa?
 
Ndo nani?
huyu ni mtumishi wa Mungu naYesu kristo.

huyu dada ni mwimbaji na alikuwa na ndoa na mpenzi wake aitwaye Amon ambaye ndiye "aliyembikiri" na kupata naye mtoto lakini baadae shetani aliingilia kati na ndoa ikasambaratika, yaani kesi ilienda mahakamani na talaka ikatoka.

Upendo alimlilia Mungu na akapewa mme mpya, juzi wamefunga ndoa takatifu na mume mpya, Huyu mume ni shujaa maaana anajua mtu aliyembikiri mke wake lakininkaamua kumbeba vivyo hivyo, natamani wanwake wenzangu tuige mfano wa upendo, kwa wasio mfahamu mwaweza fuata hii link mkaona zaidi.

wimbo wa zindonga





Shazam
 
Back
Top Bottom