Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe ni KE au umekopi sehemu haya maelezo?huyu ni mtumishi wa Mungu naYesu kristo.
huyu dada ni mwimbaji na alikuwa na ndoa na mpenzi wake aitwaye Amon ambaye ndiye "aliyembikiri" na kupata naye mtoto lakini baadae shetani aliingilia kati na ndoa ikasambaratika, yaani kesi ilienda mahakamani na talaka ikatoka.
Upendo alimlilia Mungu na akapewa mme mpya, juzi wamefunga ndoa takatifu na mume mpya, Huyu mume ni shujaa maaana anajua mtu aliyembikiri mke wake lakininkaamua kumbeba vivyo hivyo, natamani wanwake wenzangu tuige mfano wa upendo, kwa wasio mfahamu mwaweza fuata hii link mkaona zaidi.
wimbo wa zindonga
Shazam
Yaani humu kuna watu huwa wanakurupuka kuanzisha nyuzi za ajabu kweli.!
Utakuta mtu anaandika habari inayomhusu jirani yake halafu anafikiri watu wote humu wanamjua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli njia ya kwenda mbinguni ni nyembamba sana..!View attachment 1043647awali alifunga ndoa yake ya kwanza na mpenzi wake amon na kupata mtoto mmoja lakini hivi sasa amefunga ndoa tena na mtu mwingine
Sent from my iPhone using JamiiForums
huyu ni mtumishi wa Mungu naYesu kristo.
huyu dada ni mwimbaji na alikuwa na ndoa na mpenzi wake aitwaye Amon ambaye ndiye "aliyembikiri" na kupata naye mtoto lakini baadae shetani aliingilia kati na ndoa ikasambaratika, yaani kesi ilienda mahakamani na talaka ikatoka.
Upendo alimlilia Mungu na akapewa mme mpya, juzi wamefunga ndoa takatifu na mume mpya, Huyu mume ni shujaa maaana anajua mtu aliyembikiri mke wake lakininkaamua kumbeba vivyo hivyo, natamani wanwake wenzangu tuige mfano wa upendo, kwa wasio mfahamu mwaweza fuata hii link mkaona zaidi.
wimbo wa zindonga
Shazam
Pole sana, unatakiwa kumpa maelezo ya kina bila dhihaka.Acheni dhihaka, hyu ni mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili maarufu na wakitambo sana, labda uwe umetoka bush juzi ndio unaweza ukashindwa kumjua.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani humu kuna watu huwa wanakurupuka kuanzisha nyuzi za ajabu kweli.!
Utakuta mtu anaandika habari inayomhusu jirani yake halafu anafikiri watu wote humu wanamjua
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huyo wa mwanzo ilikuwaje?Kaolewa na mtu asiyeona? Mbona miwani myeusi?
Wa kwanza alikuwa Sharo kazi hawez wacha babu afurahie uumbajiWas kwanza yupo wapi?
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Yaani humu kuna watu huwa wanakurupuka kuanzisha nyuzi za ajabu kweli.!
Utakuta mtu anaandika habari inayomhusu jirani yake halafu anafikiri watu wote humu wanamjua
Sent using Jamii Forums mobile app
Team Kiba na Kilahiro wapi na wapi?Wewe ni mshamba upendo kilahiro ni mwimbaji wa nyimbo za injili wewe ndo humjui
Sent using Jamii Forums mobile app
Team Kiba na Kilahiro wapi na wapi?
ila cha kujua ni kwamba wapo honeymoon hapo kilimanjaro Kyaro- Hotel Moshi jamaa anasugua mzigo wake vizuri.
Bado kuta za kusugua zipo ndugu? Mambo ni mengi. .......Team Kiba na Kilahiro wapi na wapi?
ila cha kujua ni kwamba wapo honeymoon hapo kilimanjaro Kyaro- Hotel Moshi jamaa anasugua mzigo wake vizuri.
Tuige huu ujinga ndugu?huyu ni mtumishi wa Mungu naYesu kristo.