Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani humu kuna watu huwa wanakurupuka kuanzisha nyuzi za ajabu kweli.!Ndo nani?
Life begin at 55.View attachment 1043647awali alifunga ndoa yake ya kwanza na mpenzi wake amon na kupata mtoto mmoja lakini hivi sasa amefunga ndoa tena na mtu mwingine
Sent from my iPhone using JamiiForums
Acheni dhihaka, hyu ni mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili maarufu na wakitambo sana, labda uwe umetoka bush juzi ndio unaweza ukashindwa kumjua.Yaani humu kuna watu huwa wanakurupuka kuanzisha nyuzi za ajabu kweli.!
Utakuta mtu anaandika habari inayomhusu jirani yake halafu anafikiri watu wote humu wanamjua
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani humu kuna watu huwa wanakurupuka kuanzisha nyuzi za ajabu kweli.!
Utakuta mtu anaandika habari inayomhusu jirani yake halafu anafikiri watu wote humu wanamjua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sikosei ni mwanamuziki wa nyimbo za injili..... alikuwa anaimba pamoja na mume wake aitwaye amoni kilahiro....Ndo nani?
Kama terminator.Kaolewa na mtu asiyeona? Mbona miwani myeusi?
Wacha wivu dada. Hata wewe utaolewa tu japo upo kwenye mid-50s.
Vitambi kama vyote. Hapo lazima watumie mito kufikiana na kupata mshindoHapooView attachment 1043668View attachment 1043669View attachment 1043670
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
Hivi Christina Shusho ameolewa?Mimi ndio namwona leo kwa sura aisee mbona wanawehuka. shida ni kwamba huwa wanaoana wakiwa bado wasichana wadogo hawajajua mji wakiimba na kujulikana basi wanaona wale wanaume hawawafai tena. Florah Mbasa nae siku hizi yuko na Kiben 10 chake ana shida gani wala sisikii akiimba tena ha haha all the best
huyu ni mtumishi wa Mungu naYesu kristo.Ndo nani?
..Sasa kutomjua huyo Upendo ni dhihaka!? Mimi mwenyewe namsikia na kumuona leo.Acheni dhihaka, hyu ni mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili maarufu na wakitambo sana, labda uwe umetoka bush juzi ndio unaweza ukashindwa kumjua.
Sent using Jamii Forums mobile app