Upendo Kilahiro afunga ndoa ya pili

Yaani humu kuna watu huwa wanakurupuka kuanzisha nyuzi za ajabu kweli.!
Utakuta mtu anaandika habari inayomhusu jirani yake halafu anafikiri watu wote humu wanamjua

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni dhihaka, hyu ni mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili maarufu na wakitambo sana, labda uwe umetoka bush juzi ndio unaweza ukashindwa kumjua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani humu kuna watu huwa wanakurupuka kuanzisha nyuzi za ajabu kweli.!
Utakuta mtu anaandika habari inayomhusu jirani yake halafu anafikiri watu wote humu wanamjua

Sent using Jamii Forums mobile app

uyu ni sanii wa gospel anaitwa upendo kilahiro ameimba nyimbo nyingi lakini huu mtakua mnaujua BABA NINA kUABUDU na nyingine nyingi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi ndio namwona leo kwa sura aisee mbona wanawehuka. shida ni kwamba huwa wanaoana wakiwa bado wasichana wadogo hawajajua mji wakiimba na kujulikana basi wanaona wale wanaume hawawafai tena. Florah Mbasha nae siku hizi yuko na Kiben 10 chake ana shida gani wala sisikii akiimba tena ha haha all the best
 
Hivi Christina Shusho ameolewa?
 
Ndo nani?
huyu ni mtumishi wa Mungu naYesu kristo.

huyu dada ni mwimbaji na alikuwa na ndoa na mpenzi wake aitwaye Amon ambaye ndiye "aliyembikiri" na kupata naye mtoto lakini baadae shetani aliingilia kati na ndoa ikasambaratika, yaani kesi ilienda mahakamani na talaka ikatoka.

Upendo alimlilia Mungu na akapewa mme mpya, juzi wamefunga ndoa takatifu na mume mpya, Huyu mume ni shujaa maaana anajua mtu aliyembikiri mke wake lakininkaamua kumbeba vivyo hivyo, natamani wanwake wenzangu tuige mfano wa upendo, kwa wasio mfahamu mwaweza fuata hii link mkaona zaidi.

wimbo wa zindonga



Shazam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…