Upendo Kilahiro afunga ndoa ya pili

Mkuu wewe ni KE au umekopi sehemu haya maelezo?
 
Unashauri wanawake wenzako waige mfano wa Upendo?

Mfano huo ni mzuri kwa upande wako?

Sioni chochote cha kujivunia toka kwa Upendo isipokuwa machukizo kwa Mungu hususani kwa watu wanaojihusisha na kujitanabaisha kuwa wanamtumikia Mungu.

Walipaswa kuwa kielelezo chema na sasa nashangaa wamekuwa kinyume chake.
 
Acheni dhihaka, hyu ni mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili maarufu na wakitambo sana, labda uwe umetoka bush juzi ndio unaweza ukashindwa kumjua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana, unatakiwa kumpa maelezo ya kina bila dhihaka.
Hata hivyo hilo jina lenyewe linaonyesha ni la mtu wa kuja mjini. Kwenye orodha ya watu wa mjini bado halijasajiliwa. Na sijui kama msajili ataweza kulisajili kwa kuwa hata matamshi yake ni magumu kama shamba ambalo halijakatuliwa.
 
Team Kiba na Kilahiro wapi na wapi?

ila cha kujua ni kwamba wapo honeymoon hapo kilimanjaro Kyaro- Hotel Moshi jamaa anasugua mzigo wake vizuri.
Bado kuta za kusugua zipo ndugu? Mambo ni mengi. .......
 
Tuige huu ujinga ndugu?
Kwa Yesu hakuna talaka!

Narudia tena kuna tatizo kwny hii hii tasnia ya gospel,wanawake wanajisahau sn yaani!

Hii sio ndoa takatifu bwana ,ndoa ya pili iwe takatifu? How?

sent using...tecno wereva[emoji23]
 
Alipokua na mumewe waliimba aisee ktk Roho na kweli!
Ukitaka kuamini hii sio sawa,subiri uone km akitoa tena nyimbo atasikika
Jiulize yuko wapi Flora wa mbasha? Unafikiri haimbi? Anaimba na ana nyimbo lkn mbona hasikiki tena!?

Wanawake wengi hawasimami kwenye nafasi zao,na haya ndo matokeo!

sent using...tecno wereva[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…