hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Hata mimi pia..Sasa kutomjua huyo Upendo ni dhihaka!? Mimi mwenyewe namsikia na kumuona leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi pia..Sasa kutomjua huyo Upendo ni dhihaka!? Mimi mwenyewe namsikia na kumuona leo.
Hahaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mm sioi Single mom mpaka nihakikishe mmewake Kafa.
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
huyu ni mtumishi wa Mungu naYesu kristo.
huyu dada ni mwimbaji na alikuwa na ndoa na mpenzi wake aitwaye Amon ambaye ndiye "aliyembikiri" na kupata naye mtoto lakini baadae shetani aliingilia kati na ndoa ikasambaratika, yaani kesi ilienda mahakamani na talaka ikatoka.
Upendo alimlilia Mungu na akapewa mme mpya, juzi wamefunga ndoa takatifu na mume mpya, Huyu mume ni shujaa maaana anajua mtu aliyembikiri mke wake lakininkaamua kumbeba vivyo hivyo, natamani wanwake wenzangu tuige mfano wa upendo, kwa wasio mfahamu mwaweza fuata hii link mkaona zaidi.
wimbo wa zindonga
Shazam
wanatunza, wanawake wengi wa kilokole ni bikra, na wanaolewa nazo na utafiti unaonyesha hoteli nyingi maharusi wa kilokole wakilala wanachafua shuka kwa damu siku ya fungate
huyu ni mtumishi wa Mungu naYesu kristo.
huyu dada ni mwimbaji na alikuwa na ndoa na mpenzi wake aitwaye Amon ambaye ndiye "aliyembikiri" na kupata naye mtoto lakini baadae shetani aliingilia kati na ndoa ikasambaratika, yaani kesi ilienda mahakamani na talaka ikatoka.
Upendo alimlilia Mungu na akapewa mme mpya, juzi wamefunga ndoa takatifu na mume mpya, Huyu mume ni shujaa maaana anajua mtu aliyembikiri mke wake lakininkaamua kumbeba vivyo hivyo, natamani wanwake wenzangu tuige mfano wa upendo, kwa wasio mfahamu mwaweza fuata hii link mkaona zaidi.
wimbo wa zindonga
Shazam
najua wakristo ndoa ni moja tu ila sasa mwanamke mwili wake kila anapokuwa anakaribia siku zake[menstrual] anakuwa kwenye joto na hamu ya kufanya mapenzi, sasa kuliko kuanguka dhambini bora apate mtu wa kumsugua na kupunguza hiyo ashkiukristo hauruhusu ndoa mara mbili mkuu, mtaliki wako akiwa hai
haipo wan foji hao
nashangaa unashobokea
najua wakristo ndoa ni moja tu ila sasa mwanamke mwili wake kila anapokuwa anakaribia siku zake[menstrual] anakuwa kwenye joto na hamu ya kufanya mapenzi, sasa kuliko kuanguka dhambini bora apate mtu wa kumsugua na kupunguza hiyo ashki
Kwani hapo anakuwa amekwepaje kuangukia dhambini ?, kufunga tu ndoa huku akiwa anajua fika alikuwa mke wa mtu na mmewe bado yuko hai automatically ameanguka dhambini, na sijui kama anaweza kuendelea na usanii wa kuimba Injilinajua wakristo ndoa ni moja tu ila sasa mwanamke mwili wake kila anapokuwa anakaribia siku zake[menstrual] anakuwa kwenye joto na hamu ya kufanya mapenzi, sasa kuliko kuanguka dhambini bora apate mtu wa kumsugua na kupunguza hiyo ashki
mfano kama.mm ni muislamu nitajuaje toeni kidogo introAcheni dhihaka, hyu ni mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili maarufu na wakitambo sana, labda uwe umetoka bush juzi ndio unaweza ukashindwa kumjua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukongwe gani wengine HATUMJUI bhana au ndio mnamtafutia kiki? Anagekuwa na umaarufu huo si ndoa yake ingetrend? By the way alokwambia huku bush hatusikilizi gospel nani? Angekuwa Rose, B. Bukuku, Shusho nk tusingeuliza.Acheni dhihaka, hyu ni mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili maarufu na wakitambo sana, labda uwe umetoka bush juzi ndio unaweza ukashindwa kumjua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hyu ni maarufu ata kuliko hao uliowataja mkuu.Ukongwe gani wengine HATUMJUI bhana au ndio mnamtafutia kiki? Anagekuwa na umaarufu huo si ndoa yake ingetrend? By the way alokwambia huku bush hatusikilizi gospel nani? Angekuwa Rose, B. Bukuku, Shusho nk tusingeuliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni dhihaka, hyu ni mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili maarufu na wakitambo sana, labda uwe umetoka bush juzi ndio unaweza ukashindwa kumjua.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂Mungu na mimi naomba kama kaka hapo juu☝☝ Kuwa na mwanamke mwenye kitambi ni jaribu kubwa sana kwangu, siwezi livumilia.
Sio kila muimbaji wa gospel anafahamika,binafsi ni muslim unataka kusema namjua uyo?Acheni dhihaka, hyu ni mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili maarufu na wakitambo sana, labda uwe umetoka bush juzi ndio unaweza ukashindwa kumjua.
Sent using Jamii Forums mobile app