Upendo Kilahiro afunga ndoa ya pili

msiseme watumishi wa mungu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Reactions: THT

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
wanatunza, wanawake wengi wa kilokole ni bikra, na wanaolewa nazo na utafiti unaonyesha hoteli nyingi maharusi wa kilokole wakilala wanachafua shuka kwa damu siku ya fungate

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚leo nacheka na comments zKo my dearπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ukristo hauruhusu ndoa mara mbili mkuu, mtaliki wako akiwa hai

haipo wan foji hao

nashangaa unashobokea
 
ukristo hauruhusu ndoa mara mbili mkuu, mtaliki wako akiwa hai

haipo wan foji hao

nashangaa unashobokea
najua wakristo ndoa ni moja tu ila sasa mwanamke mwili wake kila anapokuwa anakaribia siku zake[menstrual] anakuwa kwenye joto na hamu ya kufanya mapenzi, sasa kuliko kuanguka dhambini bora apate mtu wa kumsugua na kupunguza hiyo ashki
 
sawa, but not biblical
 
Kwani hapo anakuwa amekwepaje kuangukia dhambini ?, kufunga tu ndoa huku akiwa anajua fika alikuwa mke wa mtu na mmewe bado yuko hai automatically ameanguka dhambini, na sijui kama anaweza kuendelea na usanii wa kuimba Injili
 
Ye sio wa kwanza hata flora mbasha pia na wengine wengi hii ni kutokana na madhehebu yao yanaruhusu ndoa kufutwa na kufunga tena ngumu kumeza nenda katoliki na kwa waruteri uone mdundo wake ulivyo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Acheni dhihaka, hyu ni mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili maarufu na wakitambo sana, labda uwe umetoka bush juzi ndio unaweza ukashindwa kumjua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukongwe gani wengine HATUMJUI bhana au ndio mnamtafutia kiki? Anagekuwa na umaarufu huo si ndoa yake ingetrend? By the way alokwambia huku bush hatusikilizi gospel nani? Angekuwa Rose, B. Bukuku, Shusho nk tusingeuliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kudhalilisha watu wenye wokovu/waliokoka/wanaofuata neno la Mungu kwani huwa hawaolewi ovyo ovyo kama huyu unayemsema.Hana wito wa neno la Mungu bali kuimba injili ni kama kichaka cha kuficha maovu/uzinzi wake.Ndoa ya pili?Ya kwanza imekuaje?Mme wake wa kwanza yuko wapi?Na yeye umaarufu wake?Chanzo cha kuachana?Walikuwa na watoto wangapi au?Mme wa sasa hakuwa ameoa?Ana watoto wangapi?Alikuwa na umaarufu gani?Mke wake wa mwanzo yupo wapi?Waliachana au Mola aliwatenganisha?

Acha kukurupuka huko uliko,eti ana umaarufu,UPI?Wa kuolewa mara ya pili au?Umaarufu wake itakuwa ni wa kuolewa mara ya pili kwa sababu inaonyesha wamevuta umri haswa.Eti ni maarufu,mnakurupuka kutoka huko Pugu mnada wa ng'ombe mkiwa mnatafuna vidari vya ng'ombe na kuposti uzi kututaka kutuaminisha kuwa alikuwa ni mtu maarufu sanaaaa wakati ni mama huyu ni maarufu kwenye familia yako labda kidogo kwenye ukoo wenu.
Acheni dhihaka, hyu ni mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili maarufu na wakitambo sana, labda uwe umetoka bush juzi ndio unaweza ukashindwa kumjua.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ye sio wa kwanza hata flora mbasha pia na wengine wengi hii ni kutokana na madhehebu yao yanaruhusu ndoa kufutwa na kufunga tena ngumu kumeza nenda katoliki na kwa waruteri uone mdundo wake ulivyo

Walutheri na Wakatoliki ni dini tu hizo, wanafuata mafundisho na litirujia na si mwongozo wa roho mtakatifu.

kiongozi wao amezuia watu wasioe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…