Mkuu kwa nn umesema siwezi kutumia condoms!?? Nimeona watu wengi pia kwenye michango yao wanaongelea umakini kuwa sina. Nataka niseme hapa, pamoja na udhaifu wangu huo ambao nimeusema mwenyewe, lkn haina maana kwamba me sina akili kabisaa!
Moja ya misimamo yangu kwa demu yoyote wa nje, ni matumizi ya kinga. Hili Wala sina shaka nalo kwa sababu lipo kwenye maamuzi yangu. Na kuhusu kupima mara ya mwisho nimepima kabla sijarudi dar kwenye familia yangu. Nilipima tarehe 25 mwezi march na majibu haya hapa chini. [emoji116][emoji116] Nashukuru mkuu kwa maoni yako kuhusu mikosi na Mambo mengine yanayofanana na hilo.
Kuna watu wanajifanya hapa ni watakatifu baada ya kusoma hiki nilichoandika, wanasahau kwamba wapo wenye matendo maovu zaidi yangu ila hawajaamua kujiweka hadharani..
View attachment 1797160