Upendo Nkone: Mayai ya kisasa yanaongeza matiti kwa wanaume

Upendo Nkone: Mayai ya kisasa yanaongeza matiti kwa wanaume

Mkuu unatumia hayo mayai ya kisasa?

Kama jibu ni ndiyo basi pokea huu ushauri wa mhubiri wa Injili kwa njia ya uimbaji na uufanyie kazi kwa faida yako na wanao wa kiume
Katumia utafiti wa kisayansi kufikia hilo hitimisho au ni mambo ya kiroho?
 
Kitu pekew kibaya kwenye mayai ya kisasa ni Matumizi makubwa ya Madawa ambapo hata hivo kwa kuku wa mayai, Madawa sio sana ukicompare na kuku wa Nyama.

Na hayo madawa hasara yake kubwa kwa binadamu ni kusababisha Antimicrobual resistance(AMR), kiasi kwamba tutakua hatuna dawa effective miaka ya mbeleni kama tutaendelea hivo.

Lakini, Kuna vitu ni vya hatari mara kumi ya hayo mayai haviongelewi kama: Matunda na mboga mboga zilizo wekwa dawa(Hizi ni sumu kabisa zinaua figo), Vinywaji vyenye chemical - Vinasababisha kisukari, Cancer na magonjwa ya Figo.

So tuache kujiandikia andikia tu mambo ambayo hatuna ufahamu nayo
 
Hakuna kitu hakina madhara unabidi kutumia wisely.
Huu ujinga unaendekezwa sana ,sijui kwa nini
Aaaaah
 
Lakini, Kuna vitu ni vya hatari mara kumi ya hayo mayai haviongelewi kama: Matunda na mboga mboga zilizo wekwa dawa(Hizi ni sumu kabisa zinaua figo), Vinywaji vyenye chemical -
Usitoke kwenye mada ila kama unataka mjadala kuhusu mboga mboga na vinywaji vya chemicals we anzisha uzi na wadau tutajadili...

Kwa huu uzi tutajadili hoja ya Upendo kuhusu mayai ya kisasa kusababisha wanaume wote maziwa makubwa.

Baki kwa mjadala huu mkuu
 
Huu ujinga unaendekezwa sana ,sijui kwa nini
Ushauri umetolewa kwa nia njema, huo sio ujinga bali ujinga ni kuacha kutumia mayai ya kienyeji na kukimbilia kula mayai ya kisasa.
 
Huko dasalama lazima apate vita kali sana kutoka kwa wadau kama kina boniyai
Tatizo sio vita shida inakuja huyo upendo kasema hivyo akiwa kama nani kwenye sekta ya afya ,kwa sababu zipo sababu nyingine za matiti nyingine ni changamoto kubwa kabisa za kiafya , hauoni akisema ni mayai tu ni uposhaji mkubwa?
 
Back
Top Bottom