Upendo Nkone: Mayai ya kisasa yanaongeza matiti kwa wanaume

Wakaka kina boniyai wanatoa povu balaa coz washaota manyonyo makubwa na hawakujua yaliwapataje, sasa Upendo kaweka wazi kisababishi weeeh hahahaaa boniyai wametoa povu lile la omo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimecheka hadi bas, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani mwanaume akiwa na matiti na anaendelea na kazi zake vizuri na mayai ananunua kwa hela yake we unaumia wapi?
Kazi ya matiti ni kunyonyesha, mwanaume mwenye matiti makubwa hana tofauti na mwanamke, ni aibu kwa mwanaume kukuza matiti
 
Hilo jinga lifanye mambo inayoyaweza. Ye ni daktari wa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…