Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Mjomba watu wa Mikoani ni kazi kazi! Huku sisi miili yetu imekakamaa kwa kushinda juani tukilima.Kwamba mikoani hakuna wanaume mwenye matiti?
Mjomba watu wa Mikoani ni kazi kazi! Huku sisi miili yetu imekakamaa kwa kushinda juani tukilima.Kwamba mikoani hakuna wanaume mwenye matiti?
Hata jamii ya kale kabisa wanaume wahivyo walikuwepo , point hapa huyo upendo mkono yeye ni mtaalamu wa afya?Mjomba watu wa Mikoani ni kazi kazi! Huku sisi miili yetu imekakamaa kwa kushinda juani tukilima.
Usihame kwenye madaMkorogo kaacha? Au haijapata madhara bado?
Wewe uliza yale maswali yako ya kiwaki ,najibu hapa.Usihame kwenye mada
Hujawahi kukutana na watoto wa kiume wenye matiti makubwa?Ana taaluma yoyote kuhusu masuala ya afya?
Nikuulize mara ngapi ilhali nilishakuuliza...Wewe uliza yale maswali yako ya kiwaki ,najibu hapa.
Sijawahi kukutana naoHujawahi kukutana na watoto wa kiume wenye matiti makubwa?
Basi wazungu wote wangekuwa na matiti km matikiti maana wao toka kuzaliwa hadi kuufa ni mwendo wa mayai ya kisasa tu.
Tembea ujionee usingoje kuambiwaSijawahi kukutana nao
Njoo huku Sinza na Kinondoni nikioneshe hao watoto wa kiume wenye matiti makubwaAliyaona wapi hayo manyonyo ya watoto wa kiume waliokula mayai ya kisasa?
Huyo mzee ni daktari?ni yule mzee wa m pox
Mwanaume mwenye matiti makubwa atapata wapi nguvu ya kunyandua demu?Vp hayapunguzi nguvu za kunyanduana
Mkuu na wewe umewaonaje?Njoo huku Sinza na Kinondoni nikioneshe hao watoto wa kiume wenye matiti makubwa
Kazi kweli kweliMbona makalla ajakamatwa mpaka sasa hivi....acheni uonevu
Ninewaona kwa macho yaani wana matiti makubwa na tako la maana.Mkuu na wewe umewaonaje?
Hivi hii imekaaje kisheria endapo akishtakiwa kwa kutoa matamko yenye kuathiri biashara za watu bila kuwa na utaalamu na anachokizungumza.Muimbaji wa nyimbo za Injili, Upendo Nkone, ametoa angalizo kwa wazazi kuhusu ulaji wa mayai ya kuku wa kisasa kwa kudai kuwa yanaongeza ukuaji wa matiti kwa watoto wa kiume.
Muimbaji huyo aliandika ujumbe huo kupitia akaunti yake ya Instagram akisema..''Jamani wazazi natoa ushauri tuu kwamba, tusiruhusu watoto wa kiume kula mayai ya kisasa, yanaleta manyonyo kwa wanaume. Hayo madawa nadhani yanayotumika, kama ni chips kula kavu au ule tuu mayai ya kienyejii, wanaume hili ni la muhimu sana"
Alimalizia kwa kusema "ila mnisamehe kama nitakuwa nimekosea au nimewaudhii️. Waachieni wanawake wale japo kwa kiasi pia. Nashindwa namna ya kuliwasilisha vizuri hilii ila mnisamehe wanaume''
Chanzo: Gazeti la Pambazuko.
Anza na Amos Makala kabla ya kuwaza kumshtaki UpendoHivi hii imekaaje kisheria endapo akishtakiwa kwa kutoa matamko yenye kuathiri biashara za watu bila kuwa na utaalamu na anachokizungumza.
kabisaMwanaume mwenye matiti makubwa atapata wapi nguvu ya kunyandua demu?
Wanaume wa Dar ni waathirika wakubwa wa mayai ya kisasa na hawana kabisa nguvu za kiume