Upendo Nkone: Mayai ya kisasa yanaongeza matiti kwa wanaume

Upendo Nkone: Mayai ya kisasa yanaongeza matiti kwa wanaume

Kwa hiyo wafugaji wa kuku wa kisasa wabadili biashara
Umesoma vyema kile alichosema Upendo?

Mdada hajapinga biashara ya mayai bali ametoa ushauri tu watoto wa kiume waache kula hayo mayai ila kwa upande wa wadada hajashauri wasitumie so hajapinga biashara yao
 
Mbona hajabalance story 😎kwa wanawake yanaongeza nini?
 
Ni kweli hiii mikuku ya kisasa na mayai yake kiafya si mazuri
Kwa sasa asilimia kubwa ya vyakula si vizuri kiafya kutokana na kuzalishwaji wake kwa kutumia madawa
Sijui tutaponea wapi
 
Usitoke kwenye mada ila kama unataka mjadala kuhusu mboga mboga na vinywaji vya chemicals we anzisha uzi na wadau tutajadili...

Kwa huu uzi tutajadili hoja ya Upendo kuhusu mayai ya kisasa kusababisha wanaume wote maziwa makubwa.

Baki kwa mjadala huu mkuu
Hiyo hoja ya upendo ni withful thinking haina mashiko yeyote kisayansi
 
Ni kweli hiii mikuku ya kisasa na mayai yake kiafya si mazuri
Kwa sasa asilimia kubwa ya vyakula si vizuri kiafya kutokana na kuzalishwaji wake kwa kutumia madawa
Sijui tutaponea wapi
Mihogo, viazi, na maghimbi vya kuchemsha
 
Muimbaji wa nyimbo za Injili, Upendo Nkone, ametoa angalizo kwa wazazi kuhusu ulaji wa mayai ya kuku wa kisasa kwa kudai kuwa yanaongeza ukuaji wa matiti kwa watoto wa kiume.

Muimbaji huyo aliandika ujumbe huo kupitia akaunti yake ya Instagram akisema..''Jamani wazazi natoa ushauri tuu kwamba, tusiruhusu watoto wa kiume kula mayai ya kisasa, yanaleta manyonyo kwa wanaume. Hayo madawa nadhani yanayotumika, kama ni chips kula kavu au ule tuu mayai ya kienyejii, wanaume hili ni la muhimu sana"

Alimalizia kwa kusema "ila mnisamehe kama nitakuwa nimekosea au nimewaudhii️. Waachieni wanawake wale japo kwa kiasi pia. Nashindwa namna ya kuliwasilisha vizuri hilii ila mnisamehe wanaume''

Chanzo: Gazeti la Pambazuko.
Na yeye ni mwanamke, matiti ya wanaume yanamuuma nini. Kila mmoja abaki na matiti yake.
 
Hiyo hoja ya upendo ni withful thinking haina mashiko yeyote kisayansi
Na hao watoto wa kiume wenye matiti makubwa wanayapataje kwa mfano?

Upendo kaweka wazi kisababishi cha manyonyo makubwa kwa wanaume, acha kula hayo mayai ikiwa wewe ni mwanaume.
 
Kumekuchaaa!! Wacha tuone. Lol
Wakaka kina boniyai wanatoa povu balaa coz washaota manyonyo makubwa na hawakujua yaliwapataje, sasa Upendo kaweka wazi kisababishi weeeh hahahaaa boniyai wametoa povu lile la omo 😂😂😂
 
Back
Top Bottom