Huyu huyu waliogombea mwili WA marehemu!! Na mwenye mume!! Hafai hata Kwa dawa, ila wakiangalia sura atawafaaNina hasra Mkuu, wanatuharbia nchi watu wa tabia hii.
Kuna mjinga mwingine juz anamponda sana Luhaga kumbe anafukuzia teuzi za Uwaziri wa Sheria. Hovyo sana hawa watu.
Daaah l, sijui ni kwanini watu wa ajabu ndio hupata nafasi za maana nchi hii? Wanazingatia wingi wa maneno sio uwezo wa utendaji wa mtu.Huyu huyu waliogombea mwili WA marehemu!! Na mwenye mume!! Hafai hata Kwa dawa, ila wakiangalia sura atawafaa
Right. Ila, to be fair, serikali inapoamua kutumia hazina ya taifa tena bila ukomo kulipa au kununua watu (individuals) kwa malengo binafsi, si rahisi kwa mtu kukwepa mtego. Anaweza kulipwa bei yoyote bila bugdha yoyote toka kokote.Wanasiasa ndivyo walivyo
Siku zote nasema usimpe mdhamana mwanasiasa [emoji1]
Ova
Tuiombee CDM ifanye jambo la kueleweka msimu huu.Hakika, upo sahihi.
Haishtui wala!!!!Aliyekuwa Mbunge wa Vitu Maalum Chadema, Mweka Hazina wa Kanda ya Victoria na Mgombea Ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndg. Upendo Peneza, amehamia CCM leo katika mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi.
Katumia Haki yake ya kikatiba sioni tatizo..shida inakuja baadhi wanapoanza kumtukana na kumpa majina kibao wakati huohuo ccm wakihamia huko mnawapongeza na kuwasifia wakati wote hao wanatimiza wajibu wao kikatiba wa kujiunga na chama chochote Cha kisiasa..Aliyekuwa Mbunge wa Vitu Maalum Chadema, Mweka Hazina wa Kanda ya Victoria na Mgombea Ubunge Jimbo la Geita kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndg. Upendo Peneza, amehamia CCM leo katika mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi.
The same happened to Halima & co. Chief.Duuh huyu dada kanishangaza, yaani anaenda kujiunga na waliompora kura 2020? Dah ajabu sana. Anasahau walimuua Mawazo hapo hapo Geita leo hii anamgeuka kwa kuungana na wauwaji.
Labda Kama akina mbowe ambao wao tauari wanapesa sohuwezi kuwabadilisha kwa vipande 12 vya fedha..ila wengine ukifika tu bei wanasaliti kambi japo si vibaya Sana kwasababu nao wanamaisha inabidi yaendelee plus majukumu...mfano Mtatiro,Zitto, Nassari,Mdee na wenzake, na wengine wengiWanasiasa ndivyo walivyo
Siku zote nasema usimpe mdhamana mwanasiasa [emoji1]
Ova
Sisi wengine tunafaidi kwa macho.Vi hips vya kichokozi, pua ya kisomali na rangi ya mtume.
Wakubwa watendelea kufaidi.
View attachment 2879552
Mjilinde msipige ile michezo yenu ya sekondari:Sisi wengine tunafaidi kwa macho.
AiseeeMjilinde msipige ile michezo yenu ya sekondari:
Masta-bee
Ccm inaokoteza wapinzani uchwara ili wajiunge kwa wapumbavu.CHADEMA watabaki wasiojitambua tu na wavuta bangi kama Mdude Nyagali ambaye kichwani hazisomi.
Mtusi....Vi hips vya kichokozi, pua ya kisomali na rangi ya mtume.
Wakubwa watendelea kufaidi.
View attachment 2879552
MtusiVi hips vya kichokozi, pua ya kisomali na rangi ya mtume.
Wakubwa watendelea kufaidi.
View attachment 2879552
Mtanganyika mwenzio.Mtusi....
Wahutu wanaunganaMtanganyika mwenzio.