Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Upendo Furaha Peneza (amezaliwa mnamo 1989) ni wamasiasa mtanzania na mwanachama wa CCM alipohamia kutoka CHADEMA tarehe 22 Januari 2024. Alichaguliwa kuwa mbunge wa viti maalum kwa miaka 2015-2020
Peneza alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa kundi la Wabunge Vijana katika bunge la akitokea CHADEMA.
UPENDO amehama CHADEMA, amekuwa akizunguka vyombo vya habari kuichafua CHADEMA na specifically FREEMAN MBOWE bila kusoima upeo wa siasa ulivyo kwa sasa.
Pia soma: Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA
Amesema amehama kutokana na kazi nzuri inayofanywa na CCM!
PENEZA kama vile ambavyo mwanamke anayeachwa na mume anayempenda basi naye amekuwa kila anapopewa microphone anawaza CHADEMA zaidi kuliko chama kipya alichohamia.
Tabia hii ni ya karibuni kwa wanasiasa wachanga, badala ya kufokas kujifunza ilani ya CCM, Fitna za CCM kama hii ya kupeleka Fainali ya FA from Manyara, yeye anabaki anakimbizana na Mbowe, nafikiri saizi yake ni DUDLEY-mtoto wa Mbowe!