View attachment 2997866
Upendo Furaha Peneza (amezaliwa mnamo 1989) ni
mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa
Chama cha Mapinduzi (CCM) alipohamia kutoka
chama cha kisiasa cha
CHADEMA tarehe 22 Januari 2024. Alichaguliwa kuwa
mbunge wa
Viti Maalum kwa miaka
2015 –
2020.
[1]
Peneza alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa kundi la Wabunge Vijana katika bunge la akitokea CHADEMA.
UPENDO amehama CHADEMA, amekuwa akizunguka vyombo vya habari kuichafua CHADEMA na specifically MBOWE bila kusoima upeo wa siasa ulivyo kwa sasa.
Amesema amehama kutokana na kazi nzuri inayofanywa na CCM!