Pre GE2025 Upendo Peneza ametemwa na CHADEMA lakini hataki kuachana nayo?

Pre GE2025 Upendo Peneza ametemwa na CHADEMA lakini hataki kuachana nayo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu dada nani kamdanganya kuhama CHADEMA. Amegeuka kichekesho na hakuna anayempa time. Mwisho atajinyonga asipopata cheo.
 
View attachment 2997866

Upendo Furaha Peneza (amezaliwa mnamo 1989) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) alipohamia kutoka chama cha kisiasa cha CHADEMA tarehe 22 Januari 2024. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum kwa miaka 20152020. [1]

Peneza alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa kundi la Wabunge Vijana katika bunge la akitokea CHADEMA.
UPENDO amehama CHADEMA, amekuwa akizunguka vyombo vya habari kuichafua CHADEMA na specifically MBOWE bila kusoima upeo wa siasa ulivyo kwa sasa.
Amesema amehama kutokana na kazi nzuri inayofanywa na CCM!
Huyu dada anatumika kisiasa na kimaumbile
 
Ya kuchafuana yana mwisho. Unaweza kuwachafua wengine hadi unaanza kuchafuka mwenyewe. Na "hapo ndipo kutakapokuwa na kulipa na kusaga meno" kama alivyosema Bwana Yesu.
Hakika neno la Mungu daima halifutiki
 
View attachment 2997866

Upendo Furaha Peneza (amezaliwa mnamo 1989) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) alipohamia kutoka chama cha kisiasa cha CHADEMA tarehe 22 Januari 2024. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum kwa miaka 20152020. [1]

Peneza alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa kundi la Wabunge Vijana katika bunge la akitokea CHADEMA.
UPENDO amehama CHADEMA, amekuwa akizunguka vyombo vya habari kuichafua CHADEMA na specifically MBOWE bila kusoima upeo wa siasa ulivyo kwa sasa.
Amesema amehama kutokana na kazi nzuri inayofanywa na CCM!

Kalai aka ng'ombe aliyekosa mkia.
 
===
Naomba mifumo yote ichunguze kama anachokifanya huyu aliyekuwa Kanda wa CHADEMA kinamanufaa kwa Chama chetu au chama alichotoka,

Kama amekuja kwa shida ya njaa basi atulie ila nafasi za Uteuzi hawezi kupata, hatuwezi kutoa chakula Cha watoto kuwapa Mbwa.

Kama amesoma kitu kinaitwa branding ataelewa kuwa "Any mentioning of the item is brinding"

Whether ís positive mention or negative all are branding.

Dkt Samia Mwenyekiti wangu wa CCM huyu Upendo Peneza mbona anajiita Yuko CCM wakati movement zake ni za kuisaidia CHADEMA?
Kikulacho kipo nyumbani kwenu
 
Asichokijua yeye na hao maccm wanaomtuma ni kuwa binadamu wana kawaida ya kumpenda zaidi yule ambaye nguvu kubwa inatumika kumchafua lakini yeye hajibu lolote.
Mfano ni Mbowe, umaarufu wake mkubwa unatokana na baadhi ya wanaCCM kumchukia na kumtungia mauongo, kumkebehi nk.
Kama ni uongo watengeneze maudhui ya aina moja kisha waseme saa 2 usiku suala hilo litazungumzwa na wenyeviti wa vyama, Samia TBC na Mbowe ITV kisha muone wapi kutatazamwa na wengi!
Kwanza siku hizi kuna mtu anatazama hiyo tbc?
 
Hakuna CCM yenye akili ndogo kumtuma mtu kutajataja CHADEMA
Yaani Peneza anafanya mambo kama anavyofanya Ahmed Ally msemaji wa Simba.

Maana kutwa mzima anaisemea Yanga tuuuuu
 
Back
Top Bottom