Pre GE2025 Upendo Peneza ametemwa na CHADEMA lakini hataki kuachana nayo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hajaanza yeye waitara pia alifanya kazi hii na wengine wengi tu haikuwalipa mwisho wapo tena hawafahamiki Nini kimewasibu kazi kwake yeye
 
Sad, if she is 35+ siku hizi tunaingia monopause at 42, haya tuone vile itakuwa.
Mwambie aje nimfanyie sperm donation free of charge simchaji hata 100 MBOVU bure kabisa mapema kabla hajavuka menopause
 
Nivizuri kama ameolewa akae na bwanaake kama ajaolewa atafute mchumba! Anakuja race sana
 
Mkuu nauliza tu, hivi huyo madam kabla ya kuwa CHADEMA hakuwa CCM?
 
Kitu ambacho hajui, wale wakongwe wa michakato CCM tayari wameshamdharau kilichobaki nikumtumia kama Condom tu nakumtupa tu huko.
 
Mkuu nauliza tu, hivi huyo madam kabla ya kuwa CHADEMA hakuwa CCM?
ametoka chuo akiwa hana chama, huoni ni katoto?
Waliozaliwa ccm ndio hawa akina singida Big stars na "Munawuye"
 
MALAYA wa KISIASA huyu njaa kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…