Pre GE2025 Upendo Peneza ametemwa na CHADEMA lakini hataki kuachana nayo?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bravo
 
hivi wale akina dr slaa Lisu na hata Mbowe huwa nao wameachika? yule wanaemzungumza saaanaaa wapatapo fursa jukwaani, huwa ni nani wao? ๐Ÿ’
Mbona unachanganya madesa wewe ndugu?
 
Mbona unachanganya madesa wewe ndugu?
pole sana kamanda, umeconfuse sio ๐Ÿ’

itatakiwa uwe visionary, sharp na very sensitive kuelewa mambo haya ya kisiasa intellectually ๐Ÿ’

lazima uwe mbobevu makini sana, na kizingatia vyema kichwa cha hoja, maelezo ya hoja, lakini pia maoni na mitazamo juu ya hoja yenyewe mahususi ๐Ÿ’

au ulikua na majibu yako mfukoni kabisa ๐Ÿ’
 
.
Maza amesanda sahivi hatoi vyeo hovyo hovyo

ametoka chuo akiwa hana chama, huoni ni katoto?
Waliozaliwa ccm ndio hawa akina singida Big stars na "Munawuye"
Mkuu, katika utafiti wangu niliona kuwa; '.kuna kipindi CCM, hakikuwa na vijana wasomi na wenye weledi na hivyo kuanza kuwatafuta vijana hao nje ya CCM ili kujaza nafasi za uongozi ndani ya Serikali. Vijana wengi walitokea CDM na CUF; kama akina Nasary, Mtatiro, Silinde, Gekule na wengine wengi tu, hii ni dalili kuwa Chama hakikuwa na vijana wasomi (mahiri) na ndio maana tunaona vijana wake halisi ni walewale tu, wanajirudia rudia ndani ya Utumishi wa Umaa, hakuna wapya kutoka ndani ya chama, hii ni dalili tosha kuwa Chama hakina vijana wake wasomi na wachapa kazi, waliopo wengi ni CHAWA. Kwa mantiki hiyo inaonyesha kabisa kwamba: kwa sasa CHAMA hakina uwezo kabisa wa ku-isimamia Serikali.
 
Mpaka sasa CCM hawana watu wa kujaza nafasi za uongozi wa kuteuliwa.
SAMIA anashindwa kubadili baraza la mawaziri, hana watu !
Hata ukivunja baraza watu ni wale wale.
RC na DC hakuna kabisa wacha wakurugenzi, yaani CHAWA wamekuwa wengi na mambo yameharibika sana.
 
Kwa huyu mtanzania mwenzetu mwenye asili ya rwanda. Anapendeza sana akivaa nguo za khaki.
Nashauri tu Ccm wawe makini, huyu mrembo atarudi Chadema tu.
Na akirudu tutampokea ila hata India sebuleni atakaa barazani hadi turidhike kuwa ni mwenzetu kweli na sii covid/mgeni๐Ÿคฃ
 
Njaa zinawasumbua sn
 
Na akirudu tutampokea ila hata India sebuleni atakaa barazani hadi turidhike kuwa ni mwenzetu kweli na sii covid/mgeni๐Ÿคฃ
Kabisa kabisa ๐Ÿ˜†๐Ÿค๐Ÿพ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ