Upendo Peneza (CHADEMA) amlipua Rais Magufuli, amtaka alipe kodi kutoka kwenye mshahara wake

Upendo Peneza (CHADEMA) amlipua Rais Magufuli, amtaka alipe kodi kutoka kwenye mshahara wake

Katika mjadala wa leo bungeni, mbunge wa CHADEMA viti maalum kutoka mkoa wa Geita, Upendo Peneza amlipua Rais Magufuli ya kwamba anapaswa kuonyesha mfano katika kulipa kodi kutoka kwenye mshahara wake ambao kwa sasa haukatwi kodi..

Hali hiyo ilizua taharuki ambapo waziri wa ofisi ya Rais, TAMISEMI Simbachawene aliinuka na kuomba kutoa taarifa. Katika kutoa kwake taarifa waziri alisema mshahara wa Rais haujadiliwi popote pale, ikiwa ni sharti ndani ya katiba ibara ya 43.

Mbunge Peneza katika kukataa taarifa hiyo alisema hoja yake ya msingi ni kutaka Rais aonyeshe kuongoza kwa mfano kwa kulipa kodi kama anavyosisitiza wananchi na wafanyabiashara kulipa kodi.
THIS IS A REAL TEST OF MAGUFULI'S WORDS. NAKUAPIA HATAKUBALI KUBADILI KATIBA. MAANA WABUNGE HAWANA KAULI AKISEMA BADILI KATIBA NA SHERIA NILIPE WATABADILI, KAMWE HAWEZI SEMA HIVYO. EGOISM IKO PALE PALE AU MKUKI KWA NGURUWE.......................................................
 
RAIS yupo exempted kulipa kodi ,kwa mujibu wa income tax act 2004 ambayo wabunge wenyewe walipitisha, labda kipindi hicho binti upendo peneza alikuwa bado primary school.
angesema waibadili hiyo sheria sio kulipa kodi ......................

Ilikuwaje magufuli aseme atapunguza mishahara ya wakurugenzi wa taasisi mpaka mil 15 wakati hana hayo mamlaka.Ina maana naye hakuwepo bungeni wakati chombo kilipooundwa kisheria kupanga mishahara ya watumishi?Yeye akipindisha sheria wananchi wanachekele,wengine wakimgusa yeye viwavi kelele nyingi
 
Hivi zile nyaraka za mshahara wake ameshaziwasilisha clouds? Maana huwa anafanya kazi na clouds media!

Turudi kwenye point: Kama mshahara wa rais haujadiliwi popote mbona yeye aliujadili clouds media tena kwenye kipindi cha udaku? Mbona wakati anaujadi hamkumkataza?
 
Katika mjadala wa leo bungeni, mbunge wa CHADEMA viti maalum kutoka mkoa wa Geita, Upendo Peneza amlipua Rais Magufuli ya kwamba anapaswa kuonyesha mfano katika kulipa kodi kutoka kwenye mshahara wake ambao kwa sasa haukatwi kodi..

Hali hiyo ilizua taharuki ambapo waziri wa ofisi ya Rais, TAMISEMI Simbachawene aliinuka na kuomba kutoa taarifa. Katika kutoa kwake taarifa waziri alisema mshahara wa Rais haujadiliwi popote pale, ikiwa ni sharti ndani ya katiba ibara ya 43.

Mbunge Peneza katika kukataa taarifa hiyo alisema hoja yake ya msingi ni kutaka Rais aonyeshe kuongoza kwa mfano kwa kulipa kodi kama anavyosisitiza wananchi na wafanyabiashara kulipa kodi.
YEYE HUYO DEMU ANALIPA KODI KUTOKA KWENYE MSHAHARA WAKE???????????
 
huyu mkulu kazi kihelehele anajifanya anajua kuwa zodoa wenzie hadharani,sawa hata kama yuko exempted na sheria yale maneno yake yakitakatifu anayozugia akiwa kwenye kamera ya mara watanzania wamuombee,mara raisi wa malaika ya dhihilike basi,maana mshahara wake analipwa na wengi wengine mlo wa siku nitabu lakini wanastruggle mkulu asikose hela ya mihogo na mafuta anapokwenda kutumbua..!!hongera Peneza dawa ya hawa waropokokaji ni kuwazodoa nawao waache unafiki
 
Katika mjadala wa leo bungeni, mbunge wa CHADEMA viti maalum kutoka mkoa wa Geita, Upendo Peneza amlipua Rais Magufuli ya kwamba anapaswa kuonyesha mfano katika kulipa kodi kutoka kwenye mshahara wake ambao kwa sasa haukatwi kodi..

Hali hiyo ilizua taharuki ambapo waziri wa ofisi ya Rais, TAMISEMI Simbachawene aliinuka na kuomba kutoa taarifa. Katika kutoa kwake taarifa waziri alisema mshahara wa Rais haujadiliwi popote pale, ikiwa ni sharti ndani ya katiba ibara ya 43.

Mbunge Peneza katika kukataa taarifa hiyo alisema hoja yake ya msingi ni kutaka Rais aonyeshe kuongoza kwa mfano kwa kulipa kodi kama anavyosisitiza wananchi na wafanyabiashara kulipa kodi.

Hawa jamaa si walisema chadema kupayuka payuka sasa basi. Mbona huyu mama anaendelea kupayuka bila fact zozote zile
 
Wabunge wao wanakatwa kodi? POSHO WANAZOPATA ZINAKATWA KODI?
Kwa nini wanalipwa mishahara na pia kulipwa posho za vikao? Hiyo ni double payment.

Posho za vikao ziondolewe na wakatwe kodi na wao kwenye mapato yao yote

serikali ya CCM iache kulipa Posho
 
Ukuu wa wilaya unadhalilisha watu!
Njaa mbaya sana mkuu,utazungusha mikonoweeeeeeeeeeeeeeeeeee ili upate chochot dahhhh
images
 
Huu nao ni unafiki tu, kwani wao wabunge wanalipa kodi? kwani ni lazima raisi awe mfano na sio mbunge kuwa mfano? Kwahiyo sisi wafanyakazi tunaolipwa mishahara midogo kama manesi/ walimu na tunakatwa kodi kwenye mishahara yetu hatupaswi kuwa mfano kwa wabunge nao kuanza kukatwa kodi?. Inamana yeye anaona raisi asipokuwa mzalendo yeye hawezi kua mzalendo? Wapinzani tunahitaji kua na mawazo mbadala tukipinga jambo tulipinge kwa hoja nzito, namna hii tutapotea sana. Tumeanza kua na vihoja kama CCM wakati wanaitetea serikali ya JK.
 
Back
Top Bottom