Huu nao ni unafiki tu, kwani wao wabunge wanalipa kodi? kwani ni lazima raisi awe mfano na sio mbunge kuwa mfano? Kwahiyo sisi wafanyakazi tunaolipwa mishahara midogo kama manesi/ walimu na tunakatwa kodi kwenye mishahara yetu hatupaswi kuwa mfano kwa wabunge nao kuanza kukatwa kodi?. Inamana yeye anaona raisi asipokuwa mzalendo yeye hawezi kua mzalendo? Wapinzani tunahitaji kua na mawazo mbadala tukipinga jambo tulipinge kwa hoja nzito, namna hii tutapotea sana. Tumeanza kua na vihoja kama CCM wakati wanaitetea serikali ya JK.