Upendo Peneza (CHADEMA) amlipua Rais Magufuli, amtaka alipe kodi kutoka kwenye mshahara wake

Babu mzima unakula bure kwa mwanao ndiyo maana huna busara ni takataka, ngoja CCM ikuweke kwenye tembe mpaka ufie humo.
Kwa taarifa yako mm siishi Tanzania nilitoka kitambo sana ila nawashangaa watanzania wenzangu mnao potea
 
RAIS yupo exempted kulipa kodi ,kwa mujibu wa income tax act 2004 ambayo wabunge wenyewe walipitisha, labda kipindi hicho binti upendo peneza alikuwa bado primary school.
angesema waibadili hiyo sheria sio kulipa kodi ......................

SECOND SCHEDULE
EXEMPT AMOUNTS (Made under section 10)

1. The following amounts are exempt from income tax -
(a) amounts derived by the President of the United Republic or the President of the Revolutionary Government of Zanzibar from salary, duty allowance and entertainment allowance paid or payable to the President from public funds in respect of or by virtue of the office as President;
Hapo ndio utajua dada anataka aonyeshe unymbu wake sasa aone alivyokua kiazi alikua hajui hili sijui
 
Katika mjadala wa leo bungeni, mbunge wa CHADEMA viti maalum kutoka mkoa wa Geita, Upendo Peneza amlipua Rais Magufuli ya kwamba anapaswa kuonyesha mfano katika kulipa kodi kutoka kwenye mshahara wake ambao kwa sasa haukatwi kodi..

Hali hiyo ilizua taharuki ambapo waziri wa ofisi ya Rais, TAMISEMI Simbachawene aliinuka na kuomba kutoa taarifa. Katika kutoa kwake taarifa waziri alisema mshahara wa Rais haujadiliwi popote pale, ikiwa ni sharti ndani ya katiba ibara ya 43.

Mbunge Peneza katika kukataa taarifa hiyo alisema hoja yake ya msingi ni kutaka Rais aonyeshe kuongoza kwa mfano kwa kulipa kodi kama anavyosisitiza wananchi na wafanyabiashara kulipa kodi.

Upendo waambie baba zako mlio nao humo akina mbowe wakuelezee mwaka 2004 walipokuwa wanapitisha sheria ya malipo kwa raisi kutoka kwa hela ya serikali kutokulipiwa kodi walikuwa wamelala au?
Angalia cha kubadilishwa sio kusema raisi akatwe kodi, hapo unaonyesha uelewa mdogo ulionao na uwezo mdogo, simama kwa mawazo mapana kama kijana maana utakuwa unaangusha vijana wengi walionyuma yako hasa wa chama chako walio waroho na madaraka.
najua unataka kuonekana ila kwa kasi hiyo uliyonayo lakini
 
RAIS yupo exempted kulipa kodi ,kwa mujibu wa income tax act 2004 ambayo wabunge wenyewe walipitisha, labda kipindi hicho binti upendo peneza alikuwa bado primary school.
angesema waibadili hiyo sheria sio kulipa kodi ......................

SECOND SCHEDULE
EXEMPT AMOUNTS (Made under section 10)

1. The following amounts are exempt from income tax -
(a) amounts derived by the President of the United Republic or the President of the Revolutionary Government of Zanzibar from salary, duty allowance and entertainment allowance paid or payable to the President from public funds in respect of or by virtue of the office as President;
Hizo sheria kandamizi zilitungwa kwaajiri ya kulinda maslahi ya ccm na ndio maana wanag'ang'ana kuachia madaraka.Sheria zote zinapitishwa kwa mbwembwe na mibunge mibovu ya ccm kwakulinda maslai yao,ila kumbuka wakati ukifika msijekulalamika IPO siku mtatoka iwe kwa mtutu au kwa vyovyote.
 
Katika mjadala wa leo bungeni, mbunge wa CHADEMA viti maalum kutoka mkoa wa Geita, Upendo Peneza amlipua Rais Magufuli ya kwamba anapaswa kuonyesha mfano katika kulipa kodi kutoka kwenye mshahara wake ambao kwa sasa haukatwi kodi..

Hali hiyo ilizua taharuki ambapo waziri wa ofisi ya Rais, TAMISEMI Simbachawene aliinuka na kuomba kutoa taarifa. Katika kutoa kwake taarifa waziri alisema mshahara wa Rais haujadiliwi popote pale, ikiwa ni sharti ndani ya katiba ibara ya 43.

Mbunge Peneza katika kukataa taarifa hiyo alisema hoja yake ya msingi ni kutaka Rais aonyeshe kuongoza kwa mfano kwa kulipa kodi kama anavyosisitiza wananchi na wafanyabiashara kulipa kodi.

Uko sahihi kabisa wenzio tulilalamika kabla hujazaliwa lakini Ccm wabishi kweli.
 
!
!
Kuna wakati aliahidi kutoa salary slip yake kwa wananchi. Aliye na taarifa zaidi anitag aisee.
 
Katika mjadala wa leo bungeni, mbunge wa CHADEMA viti maalum kutoka mkoa wa Geita, Upendo Peneza amlipua Rais Magufuli ya kwamba anapaswa kuonyesha mfano katika kulipa kodi kutoka kwenye mshahara wake ambao kwa sasa haukatwi kodi..

Hali hiyo ilizua taharuki ambapo waziri wa ofisi ya Rais, TAMISEMI Simbachawene aliinuka na kuomba kutoa taarifa. Katika kutoa kwake taarifa waziri alisema mshahara wa Rais haujadiliwi popote pale, ikiwa ni sharti ndani ya katiba ibara ya 43.

Mbunge Peneza katika kukataa taarifa hiyo alisema hoja yake ya msingi ni kutaka Rais aonyeshe kuongoza kwa mfano kwa kulipa kodi kama anavyosisitiza wananchi na wafanyabiashara kulipa kodi.

Sasa hapa mbona kama anajilpua mwenyewe huwezi kumshurutisha mtu out of legal requirements cha msingi yeye kama Mbunge alishawishi bunge kuondoa hiyo exemption kisha Rais akishindwa kutekeleza kwa mujibu wa sheria hapo ndipo the so called kum-lipua kutabeba maana. After all mbona naona kama kuna kila elements za the late Hon A. Chifupa kwa huyu mbunge kijana au macho yangu ya kihenga?
 
JPM mbwembwe zote hizo za kutujazia makodi kila mahali kumbe hata hakatwi hata kodi!

Alipe kodi ili aone maumivu ya kuwa na makodi lukuki
 
Ilikuwaje magufuli aseme atapunguza mishahara ya wakurugenzi wa taasisi mpaka mil 15 wakati hana hayo mamlaka.Ina maana naye hakuwepo bungeni wakati chombo kilipooundwa kisheria kupanga mishahara ya watumishi?Yeye akipindisha sheria wananchi wanachekele,wengine wakimgusa yeye viwavi kelele nyingi
Kwani bunge ndio linapanga mishahara ya watumishi?
 
Rais kuwasisitiza wengine kulipa kodi kwa mujibu wa sheria ni sehemu ya jukumu lake kama kiongozi mkuu wa serikali.

Mbona kwenye sheria mbovu za madini kuhusu makinikia mkulu aliingilia kati na tulimshangilia sana, sasa hili la kubadili sheria ili awe mfano kwa wananchi kwa kulipa kodi anayoipigia kelele, yeye mkulu halioni? Ndio maana Mbunge kamkumbusha, sasa tatizo nini? Mshahara usiofika nusu milioni unakatwa kodi mshahara wa raisi wa zaidi ya milioni kumi haukatwi kodi.
 
Back
Top Bottom