Upendo Peneza (CHADEMA) amlipua Rais Magufuli, amtaka alipe kodi kutoka kwenye mshahara wake

Kweli mkuu. Haiingii akilini kiongozi uhamasishe wananchi walipe kodi wakati hujui machungu yake. Uongozi ni kuonesha njia. Viongozi ni lazima walipe kodi ndipo wawe na moral authority ya kuhimiza wananchi kulipa kodi.
Tumchochee Magufuli kwenye hili.

Umenena vyema Mkuu
 
Katika mjadala wa leo bungeni, mbunge wa CHADEMA viti maalum kutoka mkoa wa Geita, Upendo Peneza amlipua Rais Magufuli ya kwamba anapaswa kuonyesha mfano katika kulipa kodi kutoka kwenye mshahara wake ambao kwa sasa haukatwi kodi..

Hali hiyo ilizua taharuki ambapo waziri wa ofisi ya Rais, TAMISEMI Simbachawene aliinuka na kuomba kutoa taarifa. Katika kutoa kwake taarifa waziri alisema mshahara wa Rais haujadiliwi popote pale, ikiwa ni sharti ndani ya katiba ibara ya 43.

Mbunge Peneza katika kukataa taarifa hiyo alisema hoja yake ya msingi ni kutaka Rais aonyeshe kuongoza kwa mfano kwa kulipa kodi kama anavyosisitiza wananchi na wafanyabiashara kulipa kodi.

Kabla sija sema chochote niulize. Je, huyu mtoto anajua maana ya Rais? Anajua majukumu ya Rais? Mtoto huyu amemaliza drs la saba mwaka gani? Mtoto huyu anamiaka mingapi (umri)? Ameolewa? Ningepata majibu ya maswali hayo ninge sema chochote lakini sasa siwezi kwasababu sijui namjibu au nashauriana na nani.
 
Kwa hiyo Rais ni Tz pekee, mbona marais nchi zingene wanalipa kodi? acha ushabiki jadili hoja
 
Mbunge hajui sheria mpaka anaambiwa na waziri?Nadhani ukiwa mbunge lazima kabla hujapeleka hoja hadharani ufanye research.huyu dada anatafuta umaarufu kupitia jina la Rais.Kwa nn wabunge hawakatwi kodi?kwa vile ni kazi yan mkataba wa miaka mi5?Mbona tunakatwa kodi hata kama tuna mkataba wa miezi 6?wanakopeshwa na Nssf sisi hatukopeshwi?Mbona hawa watu wanajifikiria wao tu?Rais alijipunguzia mshahara hiyo haitoshi?Wasilipe kodi kwa nini wao.
 
Inatakiwa wote tulipe kodi ili sote tu-feel maumivu ya kodi, kama baadhi ya watu hawalipi hawawezi kujua staff wengine wanaumiaje au kuumizwa namna gani na kodi hizi.
 
Kwa hiyo Rais ni Tz pekee, mbona marais nchi zingene wanalipa kodi? acha ushabiki jadili hoja
Wewe unajuaje kwamba rais halipi kodi? Acha ushabiki kwa usilolijua na hata asipo lipa kodi si ni maamuzi ya bunge ambalo ndilo linatunga Sheria na kuwekwa kwenye katiba na ni utaratibu ambao ameingia madarakani akaukuta hajauanzisha yeye, mbona awamu zingine mlikuwa hamhoji? Au mlikuwa hamjazaliwa
 
Inaonekana umezeeka ndiyo maana akili yako imechoka, kwa hiyo katiba ni bible kuwa haiwezi badilika? uzalendo ni kuonyesha mfano na siyo maigizo yenu, shame on you
 
Acheni uzandiki wewe usiye jua lolote kama nimezeeka si nalingana na babako au mamako kumbuka uzee ni dhahabu ndio maana ukiangalia viongozi wengi wengi duniani ni wazee na busara zao, huoni kulazimisha rais alipe kodi ni kuvunja katiba? Basi kama unataka rais alipe kodi kwa mshahara wake peleka bungeni hiyo Sheria ibatilishwe alipe kwani nani kakwambia halipi? Nani kakwambia Sheria ikimtaka alipe hatalipa? Jenga hoja sio kuishi kwa kulalamika tuu na kulaumu acha hizo hata Mungu hapendi watu wa namna hiyo.
 
Nimekuuliza sheria au katiba ni bible haviwezi kubadilishwa? kama ni mzalendo wa kweli kwa nini hajapeleka mswaada bungeni wa kubadilisha hizo sheria na katiba ili alipe kodi? umezeeka na akili imezeeka, pole sana.
 
Mbona unakazania umezeeka fikili kwa kutumia kichwa si vingine vyo utapata majibu. Sawa mm nimezeeka ila wewe unateswa na Elimu, unauelewa mdogo sana nimekufafanulia vizuri kabisa nini huelewi, isije ikawa nafanya aliyo imba darasa kumuelewesha......... Utapata kazi Elimu ndogo rudi shule kwasasa Elimu ni bure, katiba utaanza kuisoma drs sita fanya hivyo usiwe nanga.
 
Unaelewesha nini wewe zuzu, jadili haja zangu.
 
Haya bwana umeshinda mimi "zuzu" nikutakie mapambano mema lakini mambo mazuri hayaitaji haraka na hasira mara mimi zuzu mara mzee. Mambo mazuri yanakuja kwa majadiliano.
 
Nimekuuliza swali moja tu, kama ni mzalendo wa kweli kwanini hapeleki marekebisho ya sheria bungeni ili alipe kodi? simple like that.
 
Kwa anamtaka rais avunje Sheria ili awe mfano! Huyu mbunge wa chadema kachanganyikiwa anatafuta kiki kwa lazima.
 
Nimekuuliza swali moja tu, kama ni mzalendo wa kweli kwanini hapeleki marekebisho ya sheria bungeni ili alipe kodi? simple like that.
Mpumbavu wewe usiye mzee na usiye zuzu huna ujualo, apeleke yeye au wapeleke wasio kubaliana na utaratibu huo ndio maana nimekwambia rudi shule Elimu ni bure mbona huelewi, wewe kabila gani nitumie kikwenu uelewa?
 
Tatizo unaishi kwenye nyumba ya tembe ndiyo maana huna akili, miswaada inayopelekwa bungeni na mwanasheria wenu huwa inapelekwa na Cdm? toa hoja acha ujinga
 
Cdm ndio nini? Potea wewe huna hoja, ubishi tu
 
Back
Top Bottom