Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Sina hasira ya kulipa kodi kwa sababu najua umuhimu wa kulipa kodi. mimi kama mfanyakazi pia ni mlipa kodi mkubwa sana katika serikali hii kwa miaka nenda rudi. Pengine ulikuwa hufahamu kwamba wafanyakazi ndio walipa kodi wakubwa sana katika nchi hii. mfanyabiashara analipa kutokana na faida. wenyewe wanasema mfanyakazi mshahara wake wote ni faida!! tushayazoea hayo. lakini kwa sababu Magu anapiga kampeni ulipaji wa kodi, na yeye alipe kodi. basi. hakuna hasira, hakuna majungu, ni ukweli tu.Yote hata umeyaandika kwa sababu ya hasira za kulipa kodi. Hahahahaha. Pole sana mkuu, mdogo mdogo tu na tutafika tunapopataka.
Wabunge wetu wengi wanatafuta kiki ya kutokea wakati wanariadha huwa wanatafuta finishing kick pole Pendo umeshajibiwa andaa muswada binafsiRAIS yupo exempted kulipa kodi ,kwa mujibu wa income tax act 2004 ambayo wabunge wenyewe walipitisha, labda kipindi hicho binti upendo peneza alikuwa bado primary school.
angesema waibadili hiyo sheria sio kulipa kodi ......................
SECOND SCHEDULE
EXEMPT AMOUNTS (Made under section 10)
1. The following amounts are exempt from income tax -
(a) amounts derived by the President of the United Republic or the President of the Revolutionary Government of Zanzibar from salary, duty allowance and entertainment allowance paid or payable to the President from public funds in respect of or by virtue of the office as President;
Mkuu mimi pia nimewahi kufanya kazi miaka michache iliyopita, ulichoakiandika ninakifahamu fika.Sina hasira ya kulipa kodi kwa sababu najua umuhimu wa kulipa kodi. mimi kama mfanyakazi pia ni mlipa kodi mkubwa sana katika serikali hii kwa miaka nenda rudi. Pengine ulikuwa hufahamu kwamba wafanyakazi ndio walipa kodi wakubwa sana katika nchi hii. mfanyabiashara analipa kutokana na faida. wenyewe wanasema mfanyakazi mshahara wake wote ni faida!! tushayazoea hayo. lakini kwa sababu Magu anapiga kampeni ulipaji wa kodi, na yeye alipe kodi. basi. hakuna hasira, hakuna majungu, ni ukweli tu.
Pia nilikuwa natoa ufafanuzi wa hoja zako. naona hujajibu hoja ila umetoa vijembe. Hoja zimeisha?
Now you are talking. niliandika gazeti kwa sababu sikuandikii wewe tu, najua kuna wengi wanaofuatilia na watafaidika na hayo niliyoandika. nakubali kwamba suala la Rais kulipa kodi haliwezi kuishia hapa, lakini siyo vibaya kujenga hoja, maana hata hao ambao wanatakiwa kulifanyia kazi kwa mujibu wa sheria, pia huwa wanapita humu, angalau baadhi yao.Mkuu mimi pia nimewahi kufanya kazi miaka michache iliyopita, ulichoakiandika ninakifahamu fika.
Hoja hapa haziwezi kuisha, nimekushangaa tu kuandika gazeti zima wakati sentensi moja ingetosha kufikisha ujumbe wako.
Suala la rais kulipa kodi sio la kuishia humu JF, linawahusu wengi ambao pengine hata hawajui kama uzi huu kwa sasa unachangiwa na watu.
utasubiri sana bunge limejaa wazee wa kusubiri uteuzi.Uyu jamaa kila kukicha anakuja na makodi yake ya ajabu ajabu yanayowaumiza wananchi lakini sijawahi kuona akizungumzia na yeye akatwe kodi ili tafsiri halisi ya mzalendo ipatikane.
Wabunge pazeni uyu jamaa naye alipishwe kodi tu hakuna namna
hata Mugabe naye alitolewa madarakani na watu wake wa karibu.utasubiri sana bunge limejaa wazee wa kusubiri uteuzi.
Haijalishi.Haitamuumiza miradi mikubwa bajeti anapanga yeye.
Naunga mkono hoja.Huyu jamaa kila kukicha anakuja na makodi yake ya ajabu ajabu yanayowaumiza wananchi lakini sijawahi kuona akizungumzia na yeye akatwe kodi ili tafsiri halisi ya mzalendo ipatikane.
Wabunge pazeni sauti huyu jamaa naye alipishwe kodi tu hakuna namna
utasubiri sana bunge limejaa wazee wa kusubiri uteuzi.
Aliekuambia hakatwi Kodi ni nani?mshahara ukishakuwa ni mshahara ni lazima ukatwe KodiHuyu jamaa kila kukicha anakuja na makodi yake ya ajabu ajabu yanayowaumiza wananchi lakini sijawahi kuona akizungumzia na yeye akatwe kodi ili tafsiri halisi ya mzalendo ipatikane.
Wabunge pazeni sauti huyu jamaa naye alipishwe kodi tu hakuna namna
Nani kasema akatwi kodi?Huyu jamaa kila kukicha anakuja na makodi yake ya ajabu ajabu yanayowaumiza wananchi lakini sijawahi kuona akizungumzia na yeye akatwe kodi ili tafsiri halisi ya mzalendo ipatikane.
Wabunge pazeni sauti huyu jamaa naye alipishwe kodi tu hakuna namna
Naunga mkono hoja.
Ila hivi unadhani kwa JPM hilo linaweza kuwa tatizo? naona bado hujamjua vizuri mkuu.
Hao unaowaomba wapaze sauti wote hata wa chama chetu hawakatwi kodi na wako kimya!
Watapata wapi moral authority ya kupaza sauti wakati na wao ni wanufaika wa kutokatwa kodi?
Wanajua wakiropoka tu, JPM atasema tena nilikuwa naisubiri sana hiyo sheria - hebu ianze mara moja kutekelezwa kuanzia mwezi huu na itumike kwa viongozi wote wa kisiasa.
Nakuhakikishia watakaoanza kulia sio RAIS wetu ila ni hawahawa akina Godbless.
Kwa katiba tuliyo nayo, sioni logic ya kumlipa rais mshahara.Huyu jamaa kila kukicha anakuja na makodi yake ya ajabu ajabu yanayowaumiza wananchi lakini sijawahi kuona akizungumzia na yeye akatwe kodi ili tafsiri halisi ya mzalendo ipatikane.
Wabunge pazeni sauti huyu jamaa naye alipishwe kodi tu hakuna namna
Kweli mkuu. Haiingii akilini kiongozi uhamasishe wananchi walipe kodi wakati hujui machungu yake. Uongozi ni kuonesha njia. Viongozi ni lazima walipe kodi ndipo wawe na moral authority ya kuhimiza wananchi kulipa kodi.In short wote wakatwe kodi hakuna wa kusema mimi sijui,wote as long as income basi ichenjuliwe tu PAYE