CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
THIS IS A REAL TEST OF MAGUFULI'S WORDS. NAKUAPIA HATAKUBALI KUBADILI KATIBA. MAANA WABUNGE HAWANA KAULI AKISEMA BADILI KATIBA NA SHERIA NILIPE WATABADILI, KAMWE HAWEZI SEMA HIVYO. EGOISM IKO PALE PALE AU MKUKI KWA NGURUWE.......................................................Katika mjadala wa leo bungeni, mbunge wa CHADEMA viti maalum kutoka mkoa wa Geita, Upendo Peneza amlipua Rais Magufuli ya kwamba anapaswa kuonyesha mfano katika kulipa kodi kutoka kwenye mshahara wake ambao kwa sasa haukatwi kodi..
Hali hiyo ilizua taharuki ambapo waziri wa ofisi ya Rais, TAMISEMI Simbachawene aliinuka na kuomba kutoa taarifa. Katika kutoa kwake taarifa waziri alisema mshahara wa Rais haujadiliwi popote pale, ikiwa ni sharti ndani ya katiba ibara ya 43.
Mbunge Peneza katika kukataa taarifa hiyo alisema hoja yake ya msingi ni kutaka Rais aonyeshe kuongoza kwa mfano kwa kulipa kodi kama anavyosisitiza wananchi na wafanyabiashara kulipa kodi.
RAIS yupo exempted kulipa kodi ,kwa mujibu wa income tax act 2004 ambayo wabunge wenyewe walipitisha, labda kipindi hicho binti upendo peneza alikuwa bado primary school.
angesema waibadili hiyo sheria sio kulipa kodi ......................
Ukuu wa wilaya unadhalilisha watu!Wao ndio wabunge wamtungie sheria basi na kumlazimisha alipe kodi siyo kumtaka alipe kodi kwa hiari. Alipe kwa kiwa go gani?
YEYE HUYO DEMU ANALIPA KODI KUTOKA KWENYE MSHAHARA WAKE???????????Katika mjadala wa leo bungeni, mbunge wa CHADEMA viti maalum kutoka mkoa wa Geita, Upendo Peneza amlipua Rais Magufuli ya kwamba anapaswa kuonyesha mfano katika kulipa kodi kutoka kwenye mshahara wake ambao kwa sasa haukatwi kodi..
Hali hiyo ilizua taharuki ambapo waziri wa ofisi ya Rais, TAMISEMI Simbachawene aliinuka na kuomba kutoa taarifa. Katika kutoa kwake taarifa waziri alisema mshahara wa Rais haujadiliwi popote pale, ikiwa ni sharti ndani ya katiba ibara ya 43.
Mbunge Peneza katika kukataa taarifa hiyo alisema hoja yake ya msingi ni kutaka Rais aonyeshe kuongoza kwa mfano kwa kulipa kodi kama anavyosisitiza wananchi na wafanyabiashara kulipa kodi.
....Ebo! Kwani Bunge Mijadala inarushwa hewani? Au ni kipindi cha maswalitu Wakuu wangu?
Katika mjadala wa leo bungeni, mbunge wa CHADEMA viti maalum kutoka mkoa wa Geita, Upendo Peneza amlipua Rais Magufuli ya kwamba anapaswa kuonyesha mfano katika kulipa kodi kutoka kwenye mshahara wake ambao kwa sasa haukatwi kodi..
Hali hiyo ilizua taharuki ambapo waziri wa ofisi ya Rais, TAMISEMI Simbachawene aliinuka na kuomba kutoa taarifa. Katika kutoa kwake taarifa waziri alisema mshahara wa Rais haujadiliwi popote pale, ikiwa ni sharti ndani ya katiba ibara ya 43.
Mbunge Peneza katika kukataa taarifa hiyo alisema hoja yake ya msingi ni kutaka Rais aonyeshe kuongoza kwa mfano kwa kulipa kodi kama anavyosisitiza wananchi na wafanyabiashara kulipa kodi.
Mzee ukipewa wilaya ya Tandahimba utaenda? Komaa tu jitoe ufahamu upate ukuu wa wilaya uachane na kula kulala ya HoustonWao ndio wabunge wamtungie sheria basi na kumlazimisha alipe kodi siyo kumtaka alipe kodi kwa hiari. Alipe kwa kiwa go gani?
Wabunge wao wanakatwa kodi? POSHO WANAZOPATA ZINAKATWA KODI?
Kwa nini wanalipwa mishahara na pia kulipwa posho za vikao? Hiyo ni double payment.
Posho za vikao ziondolewe na wakatwe kodi na wao kwenye mapato yao yote
Kwenye Mgahawa Mwanza JPM hakudai risiti.
Njaa mbaya sana mkuu,utazungusha mikonoweeeeeeeeeeeeeeeeeee ili upate chochot dahhhhUkuu wa wilaya unadhalilisha watu!
Kisha huo mswada usainiwe na nani ili uwe sheria?Wao ndio wabunge wamtungie sheria basi na kumlazimisha alipe kodi siyo kumtaka alipe kodi kwa hiari. Alipe kwa kiwa go gani?
Una ujasiri, ya Arusha umeyasahau?Kama halipi kodi atumbuliwe!