Pre GE2025 Upendo Peneza: Jengo la HQ ya CHADEMA Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango (makato) ya Wabunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu mkimbizi atulie aache kubwabwaja ,waunga juhudi wenxake walibwabwaja sana wakaishiwa maneno chadema ipo palepale,kafa jiwe kaiacha sembuse yeye
 
Huyu hajui sisi Wananchi wa Mwanza tulivyochanga kujenga uwanja wa mpira wa Kirumba kwa kukatwa kilo moja ya pamba kila mwananchi na uwanja ukakamilika? Kwani kuchangia Kuna tatizo gani? Nadhani huyu Kuna fyuzi moja imelegea.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huyo manzi angetulia kwanza.... Hiyo kauli yake haina madhara kwa CHADEMA zaidi ya kuwajenga kisiasa. KAKURUPUKA. Sasa kama chama kimetumia ruzuku na michango kununua jengo lenye hadhi si ni jambo la maana? Atulie kwanza kwasababu inaonekana bado ana mahaba na chama chake cha zamani.
 
Hii mada imekaa kama kitu mtu kajitungia tu kaleta hapa na watu wanapoteza muda wao buree. mleta hii mada hebu tuwekee video yake akiyazungumza hayo uliyoandika.
 
Kwa hiyo ana chumba chake pale
 
Ni lini Upendo Peneza alikuwa mjumbe wa kamati kuu ya chadema??? Au umekurupuka tu
 
Ila watu wengine sijui wakoje?

Ye huku kahama hapamfai ya nini kusema ya alikotoka?
Kama vile bado anawashwa na chadema.

Madam move on huu ukurasa ushaufunga tizama uliko anza kujipanga na ujipiganie ccm ina wenyewe, Magufuli tu ndo aliwapa wapinzani vyeo hata mama alisema kampeni zijazo hampigii mtu debe. Ohooo we poteza muda kwa kujadili ya ulikotoka!
 
Hilo kabila lao dogo Lina visasi sana. Namwona jamaa yangu mmoja anajificha nyuma ya wasukuma lakini roho yake ni mbaya sana. Ameumiza watu wengi, huku akijidai kuwapandiamsha wasukuma kumbe wengine wao amewaonea na kuwadhulumu haki Yao...These guys kwakweli hata Mimi nawaona Wana agenda zao za siri
 
Akichana na bwana wake huyu atasema hata maumbile yake yalivyo. sasa kama lilinuliwa kwa fedha
 
Ila sii kwa pesa za mauzo ya binaadamu😅
 
..Upendo Peneza ni kati ya wagombea ubunge waliodhalilishwa kijinsia na wana-Ccm wakati wa kampeni.

..Sasa kitu cha ajabu Upendo Peneza amehamia Ccm. Bunge linajadili unyanyasaji wa kijinsia. Na mgombea aliyemnyanyasa Upendo yuko Bungeni.

Cc Nguruvi3, Erythrocyte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…