Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Alishawishika na tamaa za Mama Diamond kutaka vijana ili awe anashindana na wasichana wa mjini huko Instagram na Facebook.
 
Lakini Mido alikua na ki binti cha age yake kinaishi Tabata. Mido alikua anaenda kukitembelea na Harrier ya Pendo. Umbea ujamfikia Pendo. Kamtimua saa hivi anaka kufukuza nzi kwenye duka la kaka yake Kariako. Anaomba msama lakini bi mkubwa kamkazia
Marioo wana shida sana jomoni[emoji849][emoji849][emoji16]
 
Dada anasura ngumu na shape kama mwanamieleka,lazima uwe unalewa ili umuone beyonce ndio umgegede...yuko mshkaji alikua na limama shepu kma huyo ilikua anaenda hom ucku kalewa plus bange.
Yani hakua anaficha anasema bila hivyo siwezi
Ila nyieee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
 
Tatizo la kukurupuka huyu aliitaji muda kidogo wa kutulia baada ya ndoa ya kwanza kuvunjika aje apate mtu sahihi yeye siku chache kaanza kupost mipicha ya kuolewa tena.
Yaani aliona ana mrusha roho mmewe aliyeachana naye kumbe ndio analikoroga ,naunga mkono hoja ilitakiwa atulie aje kupata mtu sahihi huko mbele na sio kukurupuka tu.
 
Hivi ana uhusiano na Mama Dangote? Inaelekea anapenda sana kuweka mjini vijana wa Bongo fleva. Wakigombana tu wanakwenda kumuimba kwenye nyimbo zao na yeye husikia sifa.
 
Mzuri sana. Na mm ngoja nijaribu bahati yangu kwani kuwa Kama houseboy wakat unapata kila kitu ba Harrier unaendesha tatizo lipo wap? Mtaani pagumu Sana Bora nikatukanwe kwenye like jumba lake lenye swimming pool ndani kuliko nipigike kitaa
Hebu jaribu kabahati kako mkuu

Life linabana nnyaa
 
Nimeona.... Kaandika SINGLE in capital letters. Kafunga Comments pia. Hataki Maswali. Dahh.... Mungu Tusaidie Jamani.

Ndoa HASA Maana yake Nini???
Mbona nikimsearch ' open kitchen namkosa jomoni

Nisaidie jina lake
 
Unatoa tu povu la bure Mimi from begining nilisema hii ndoa haudumu na kweli imekufa kifo chali Cha mende huku upendo akiumizwa tuwe tunaangalia na watu kabla ya mahusiano huyo pendo alivo na huo mwili na kila kitu kujitaftia ben ten ni anajitaftia maradhi ya moyo. Ben ten anataka kula maisha na kuzaa huyo pendo staweza. Wanawake msiojiamini ka huyo upendo mtataseka Sana kuchunguliwa papa zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…