Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Ila wadada mna wivu jamani khaaaaaaa!!!!! [emoji23][emoji23] mbona nyinyi mkiolewa na vibabu magentleman hawa wa diss nyinyi wadada wadogo au hivyo vibabu vyenu shame on you wadada wote mnao waongelea vibaya wadada walio olewa na wanaume walio wazidi umri.

Age is just a number na kama umri ungekua una matter kiasi hicho mbona alishindwana na mumewe wa kwanza ambae hakukua na gape la age???? Jamani hukuna anaependa kero na mauzi kama kuna option nyingine yakutengeneza furaha yako fanya hivyo.

Alafu kwanini mnasema mwanamke ukifika umri flani asiolewe alee watoto tuu au kama akiwa na mahusiano yawe ya siri[emoji15][emoji15][emoji15], kitabu gani cha dini kimeandikwa hivyo au mwana philosopher gani alipendekeza iwe hivyo???? Narudia tena wadada acheni wivu older womans/ Baby mamas gotta have a life too.
KWA hii comment yako ndoa ya upendo imekufa chali kifo Cha mende aibu kuchunguliwa na mtoto na ule mwili wake loh. Atafte vetenary mwenzake
 
Hivi watu mnatumia vigezo gani kusema,huyu mama kaolewa na kijana mdogo

swali langu lipo hapo kwenye neno kijana mdogo mnampima mtu kwa kigezo gani

mpaka mnagundua ni mdogo,mtoto,serengeti boy,nk hebu nisaidieni hiyo elimu namimi inisaidie.
Ni mdogo kwa sababu aliyemuoa kamzidi umri.
 
Lakini Mido alikua na ki binti cha age yake kinaishi Tabata. Mido alikua anaenda kukitembelea na Harrier ya Pendo. Umbea ujamfikia Pendo. Kamtimua saa hivi anaka kufukuza nzi kwenye duka la kaka yake Kariako. Anaomba msama lakini bi mkubwa kamkazia
Dogo naye kashindwa kula na kipofu angeenda kuchukua maujuzi kwa Uncle Shamte ona kamwaga kitumbua.
 
Duh. Dhambi jamani sasa kwanini mtu unakubali kumuoa. Yani Midole kanikera. Unachepuka ata ndoa haina mwezi.
Dada anasura ngumu na shape kama mwanamieleka,lazima uwe unalewa ili umuone beyonce ndio umgegede...yuko mshkaji alikua na limama shepu kma huyo ilikua anaenda hom ucku kalewa plus bange.
Yani hakua anaficha anasema bila hivyo siwezi
 
Mwanamama huyu ni maarufu sana huko Instagram. Hufanya biashara ya chakula kwa mafanikio makubwa sana. Pia huamasisha wanawake kufanya mazoezi na Mambo ya maendeleo. Kwakweli ana majumba ya kifahari, magari na hujinasibu mumewe Dr. Baba Iman Baba wa mwanae mmoja humpa support kubwa Sana.

Tulizoea kuona akipost picha za mumewe huyo na yeye na mtoto. Alimpa sifa zoote. Huyu dada ni kioo cha jamii na Wanawake wengi yeye ndo 'role model' wao.

Mara ghafla naona tena Kafunga Ndoana kijana mwingine.

Je ni nini kilimpata yule Mume wake Baba Iman, Daktari wake wa maradhi yote?

Cc: warumi


View attachment 1525868
Mkuu acha wivu, inawezekana yule wa kwanza hana Tango
 
Back
Top Bottom