Upeo na ujasiri wa wanasheria wa serikali upo chini sana. Tatizo ni nini hasa?

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
12,151
Reaction score
44,120
Awe bungeni (mwanasheria mkuu) au mahakamani (mawakili wa serikali), kote huko wanasheria wa serikali wameonekana kuwa na upeo wa chini huku wakikosa ujasiri.

Case study.
Jopo la mawakili wa serikali katika kesi uhaini ya Lissu, siku ya leo (16/6/2025) mahakamani walikuwa wazito na wenye woga wa kujenga hoja. Jambo dogo sana liliwachukua muda mrefu kulielewa na kuwachukua muda mrefu zaidi kulielezea mbele ya hakimu na bado halikueleweka.

Tatizo haswaa ni lipi?
 
mwanasheria mropokaji anatumia dk55, kueleza jambo la dk2 tu ambalo tayari mawakili wa Serikali wameliweka clear kwa jaji, ni ajabu sana 🐒
 
Ni vigumu Sana kutetea Uongo
 
Serikalini kuna Security
 
Kumshuhudia mtu mwema mambo ya uongo humtia baridi ya ubongo ashuhudiaye.Na,baridi ikishajikita ubongoni,hakika hakuna jambo jema litakalotendeka mbele za akili na macho ya wapendao haki,amani na usawa.
Mfano mzuri tunaupata kutoka katika injili/biblia,jinsi wafarisayo walivyokuwa wanapata kigugumizi,shida nyingi na migagasiko kujibu maswali ya Yesu Kristu.
 
mwanasheria mropokaji anatumia dk55, kueleza jambo la dk2 tu ambalo tayari mawakili wa Serikali wameliweka clear kwa jaji, ni ajabu sana 🐒
Huna akili wewe.
Kisa unalipwa pesa ndipo ufurahie uovu.
Inaonekana hata familia yako ina hasara kubwa sana kuwa na wewe.
 
Awe bungeni (mwanasheria mkuu) au mahakamani (mawakili wa serikali), kote huko wanasheria wa serikali wameonekana kuwa na upeo wa chini huku wakikosa ujasiri.

Case study.
Jopo la mawakili wa serikali katika kesi uhaini ya Lissu, siku ya leo (16/6/2025) mahakamani walikuwa wazito na wenye woga wa kujenga hoja. Jambo dogo sana liliwachukua muda mrefu kulielewa na kuwachukua muda mrefu zaidi kulielezea mbele ya hakimu na bado halikueleweka.

Tatizo haswaa ni lipi?
Tatizo ni uchawa wa kutotumia akili na taaluma yao na badala yake hutumia ili kumfurahisha mtawala kwa kuwakandamiza wapinzani huku wakitegemea mishahara mikubwa.
 
Hilo ni tatizo la wanasheria na majaji wengi sana wa Tanzania.
Hawana weledi.
Hata Tundu Lissu hawaamini mawakili wake, wapo slow na hawana hoja za msingi kwa sababu hii kesi siyo ya kuchukua muda kiasi hicho, na mawakili kununuliwa ni kazi rahisi sana.
 
Back
Top Bottom