Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
mwanasheria mropokaji anatumia dk55, kueleza jambo la dk2 tu ambalo tayari mawakili wa Serikali wameliweka clear kwa jaji, ni ajabu sana 🐒Awe bungeni (mwanasheria mkuu) au mahakamani (mawakili wa serikali), kote huko wanasheria wa serikali wameonekana kuwa na upeo wa chini huku wakikosa ujasiri.
Case study.
Jopo la mawakili wa serikali katika kesi uhaini ya Lissu, siku ya leo (16/6/2025) mahakamani walikuwa wazito na wenye woga wa kujenga hoja. Jambo dogo sana liliwachukua muda mrefu kulielewa na kuwachukua muda mrefu zaidi kulielezea mbele ya hakimu na bado halikueleweka.
Tatizo haswaa ni lipi?
Ni vigumu Sana kutetea UongoAwe bungeni (mwanasheria mkuu) au mahakamani (mawakili wa serikali), kote huko wanasheria wa serikali wameonekana kuwa na upeo wa chini huku wakikosa ujasiri.
Case study.
Jopo la mawakili wa serikali katika kesi uhaini ya Lissu, siku ya leo (16/6/2025) mahakamani walikuwa wazito na wenye woga wa kujenga hoja. Jambo dogo sana liliwachukua muda mrefu kulielewa na kuwachukua muda mrefu zaidi kulielezea mbele ya hakimu na bado halikueleweka.
Tatizo haswaa ni lipi?
Serikalini kuna SecurityAwe bungeni (mwanasheria mkuu) au mahakamani (mawakili wa serikali), kote huko wanasheria wa serikali wameonekana kuwa na upeo wa chini huku wakikosa ujasiri.
Case study.
Jopo la mawakili wa serikali katika kesi uhaini ya Lissu, siku ya leo (16/6/2025) mahakamani walikuwa wazito na wenye woga wa kujenga hoja. Jambo dogo sana liliwachukua muda mrefu kulielewa na kuwachukua muda mrefu zaidi kulielezea mbele ya hakimu na bado halikueleweka.
Tatizo haswaa ni lipi?
Huna akili wewe.mwanasheria mropokaji anatumia dk55, kueleza jambo la dk2 tu ambalo tayari mawakili wa Serikali wameliweka clear kwa jaji, ni ajabu sana 🐒
Tatizo ni uchawa wa kutotumia akili na taaluma yao na badala yake hutumia ili kumfurahisha mtawala kwa kuwakandamiza wapinzani huku wakitegemea mishahara mikubwa.Awe bungeni (mwanasheria mkuu) au mahakamani (mawakili wa serikali), kote huko wanasheria wa serikali wameonekana kuwa na upeo wa chini huku wakikosa ujasiri.