Upepo cover; Shkamoo Ray C

Kidogo kama hana pumzi. Simlinganishi na Rachel, namlinganisha na jinsi alivyoomba zake za awali. Kama Whitney
 
Daaaaaah mkuu naona mkeo ni pacha wangu aiseeee. Maana nimekuwa nikiimba na kucheza sana nyimbo zake,dah sitaki kukumbuka enzi za sogea sogea nilivyokuwa mad juu ya huyu dada!

I wish Ray C mwenyewe apite hapa na kuona hii post yako mkuu,ubarikiwe sana.

In Shaa Allah kheyr.[emoji120]
 
Kidogo kama hana pumzi. Simlinganishi na Rachel, namlinganisha na jinsi alivyoomba zake za awali. Kama Whitney
Duh,hayo ni maoni yako mkuu.
Itabidi nimtafute mtaalamu fulani wa muziki ninayefahamiana nae...aniambie huu wimbo Ray C kakosea wapi.

Maana mimi sikio langu halinidanganyi,nimeikubali sana.
 
>>
Kwahiyo ni kama unaniambia
[emoji444] Basi mwambie aje...aje
Ooooooh aje...aje...
Aje na viuno vyake,aje....
Asije na sauti peke yake...aje[emoji444]
Hahahaaaaa
Umetishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!
 
Ktk wachawi wewe ni kiongozi,akiyarudia madawa utafaidika nini?
Roho mbaya tu.

Nifah sio uchawi yule bado ajapona trust me coz kupona madawa inabidi ukae soba mwaka angalu nanusu sasa nambie amefikisha
 
Nifah sio uchawi yule bado ajapona trust me coz kupona madawa inabidi ukae soba mwaka angalu nanusu sasa nambie amefikisha
Mkuu,kwa post ile hukuwa na nia njema kabisa "Lazima ayarudie madawa,ni suala la muda tu "
Ni kweli ana wakati mgumu,tuendelee kumtia moyo katika yale anayopitia sasa na sio kumvunja moyo.
Thanks
 
Kwa kweli mi sio fan wa Ray C, ila haka kawimbo amekatendea haki mno,kasauti unakasikia hadi rohoni.
 
Alikuambia usikilize? Kiherehere chako kikurudishie MB zako
Hahahaaaaa
Yani nimeusikiliza kwenye earphone nimeumia masikio... Nimejuta aisee...
Serous hata wakija wataalamu watakwambia ule wimbo ni mbaya
 
Mungu wangu! Siamini kama uko serious.

Rachel kapanda wapi? Ray C hapa kapanda mpaka goosebumps zinanitoka.
Rachel hana hata robo ya pumzi aliyonayo Ray C.
binamu umerud, nilisikia ulipewa ban
Mungu wangu! Siamini kama uko serious.

Rachel kapanda wapi? Ray C hapa kapanda mpaka goosebumps zinanitoka.
Rachel hana hata robo ya pumzi aliyonayo Ray C.
 
Yani nimeusikiliza kwenye earphone nimeumia masikio... Nimejuta aisee...
Serous hata wakija wataalamu watakwambia ule wimbo ni mbaya
Aaaaaah wapi wewe,masikio yako mabovu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…