kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,175
>> aje na Viuno vyake bhasiiiiiiiiiii >>
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni takribani wiki nzima sasa nasikiliza wimbo mmoja tu,Upepo cover aliyoifanya Ray C.
Baada ya kusikiliza version hii ya Ray C nikajaribu kusikiliza original version aliyofanya Rachel! Sikutumia hata sekunde 10 niliachana nayo na kurudi kusikiliza aliyoimba Legendary Ray C.
Kwa ujio huu umenifumbua masikio kusubiria ngoma kali kutoka kwako,naamini hutoniangusha...
Sijawahi kuwa shabiki wa msanii yeyote wa kike Tanzania hii zaidi ya Ray C,kwa jide nilijishikiza tu lakini sasa nimerudi nyumbani.
Niliposikiliza wimbo huu nililia sana.
Hiki kipaji kilishapotea!
Nafurahi umerudi tena,nakupenda sana Ray C,sana.
Tafadhali usiyarudie madawa...Kama sivyo leo hii huyo Yemi Alade angekuwa si lolote Afrika hii.
Nimeweka link hapo juu,team muziki mzuri mtajua namaanisha nini baada ya kusikiliza.
Hauhitajiki kurudia mara 2 kuuona uzuri wa huu wimbo.
Rachel kapotezwa vibaya sana humo.
Naam,Ray C is baaaaaaaaack![]()
![]()
P.S Ray C pls fanya cover ya Nashukuru ya Recho,kwa ajili yetu mashabiki wako.
Asante
Nifah
Nifah usiniloweke na kuni marinate kwa kusubiri matamu kutoka kwa Rayc!wengine bado tuna maumivu kwa huyu bint na tulijifanya kumsahau kwa kuwashabikia watoto kina linah mwasiti na hiki hivi vya juzizjuzi akina Diana Ruby lakini ukweli utabaki palepale kwa dadaz bongo fleva Rayc ni habari nyingine !
My wife is mad as hell kwa yanayomtokea rayc actually nilikuwa fan wake kupitia ushawishi wa wife every single day anaghani mashairi ya huyu bibie au kiplay her music!
Last time we met her at busara festival may be three or 4 yrs ago we were real sad ! I always try to shut her recently image and pretend it is 7 yrs ago!
We love tht dada and let her know that am ready to support her in any way possible !
This post of your real raise by expectation positively towards her!
Let her come back let her shine ago inshaallah!
Duh,hayo ni maoni yako mkuu.Kidogo kama hana pumzi. Simlinganishi na Rachel, namlinganisha na jinsi alivyoomba zake za awali. Kama Whitney
Umetishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!Kwahiyo ni kama unaniambia
[emoji444] Basi mwambie aje...aje
Ooooooh aje...aje...
Aje na viuno vyake,aje....
Asije na sauti peke yake...aje[emoji444]
Hahahaaaaa
pamoja sana mkuuHahahahaha et mahabusu ya jf...afu mkuu hiyo avatar yako nomaaa nomaaa njoss
Ktk wachawi wewe ni kiongozi,akiyarudia madawa utafaidika nini?
Roho mbaya tu.
Mkuu,kwa post ile hukuwa na nia njema kabisa "Lazima ayarudie madawa,ni suala la muda tu "Nifah sio uchawi yule bado ajapona trust me coz kupona madawa inabidi ukae soba mwaka angalu nanusu sasa nambie amefikisha
Yani nimeusikiliza kwenye earphone nimeumia masikio... Nimejuta aisee...Alikuambia usikilize? Kiherehere chako kikurudishie MB zako
Hahahaaaaa
binamu umerud, nilisikia ulipewa banMungu wangu! Siamini kama uko serious.
Rachel kapanda wapi? Ray C hapa kapanda mpaka goosebumps zinanitoka.
Rachel hana hata robo ya pumzi aliyonayo Ray C.
Mungu wangu! Siamini kama uko serious.
Rachel kapanda wapi? Ray C hapa kapanda mpaka goosebumps zinanitoka.
Rachel hana hata robo ya pumzi aliyonayo Ray C.
Niko pamoja na wewe kwa hili Nifah, mekumis sana wangu.Ubarikiwe kwa kuwa mkweli dear,Ray C kajitahidi bhanaaaa [emoji119]