Upepo cover; Shkamoo Ray C


Hahahaaaaa ngoja nikujibu kama ifuatavyo...
Hajaolewa
Hana mtoto
Kwa sauti hii lazima unenepe mkuu. Bado vingine...hakika Ray C ni mrembo sana, Mungu kamjaalia vingi.

Kwenye kukumegea pande pambana kivyako mkuu,wewe mwanaume bwana.[emoji4]
 
jide skuizi ana dharau kama nini...
mimi sikuwahi kuwa shabiki wake.
ashukuru rehema chalamila aliingia kwenye madawa... enzi za Ray c ,jide alisubiri kimanzichana ray c yuko mpwapwa.
Sio siku hizi,ni tokea zamani...Jide ana dharau sana. Sijui angekuwa yeye ndio Ray C angeringa vipi.

Mimi niliwahi kujiweka kwake kidogo,ila kutoka moyoni sijawahi kabisa kumpenda Jay Dee.

Tena ashukuru sana,yani watu waache kwenda kumuangalia mtoto mzuri mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni hapo bado kiuno waende kwa Jay Dee?
Thubutuuuuu.
 
Recho anamuiga Ray C so ni ngumu ku outshine your master, ni kama ishu ya coke studio na akina V-money na Trey song pamoja wakati jux anamuiga Trey.

Hii cover maana yake ni kwamba,ngada ni mbaya sana inapoteza ladha na malengo ya vijana wenzetu, hima tusimame pamoja katika kutokomeza madawa ya kulevya.

Matumizi ya nguvu tuwaachie serikali,sisi wengine tusambaze elimu juu ya madhara ya kutumia madawa ya kulevya.

In short Ray C is good and she still have fans here,die hard fans,asituzingue tena kama ameamua kurudi kwenye game.
 
we kweli mitakataka sasa kama haukuwepo ndio maana yake hakukwama sauti??

jamani mbona kutiana aibu
Hebu nitokee hapa na wewe,kila show lazima niwepo mimi ni mic?
 

Umenifurahisha sana hapo,nafurahi kukutana na die hard wa Ray C mwenzangu.
Na hakika lazima afanye kweli.
 
weeh ila mm nampenda sana mwali kigego, hajawahi kuimba hovyo, live ndo kabisaa
Don't get me wrong sweetheart,namkubali Rachel pia maana baada ya Ray C nikawa najipoza kwake nae akaja kupotea tena.
She is good kwakweli.
 
Ni mzuri ila haufikii original, kile kisauti cha Recho cha kumtoa nyoka pangoni
 
Ukimsikiliza vzr like pumzi kidogo bado..
Nifah tuletee kuna cover moja nilickia clouds ya King kiba pls
 
Ni mzuri ila haufikii original, kile kisauti cha Recho cha kumtoa nyoka pangoni
Aiseeeeee ule wa Rachel hadi nimeshausahau.
Ni maoni yako mkuu,nayaheshimu.
 
na alivopata huyo bwana mpopo ndo anazidi
 
Ukimsikiliza vzr like pumzi kidogo bado..
Nifah tuletee kuna cover moja nilickia clouds ya King kiba pls
Hahahaaaaa huu uchokozi sasa mkuu.
BTW nimeiona YouTube,nitaisikiliza kwanza mkuu.
Kama akimfunika Kiba nitaileta,ukiona kimya ujue hamna kitu...lol
 
na alivopata huyo bwana mpopo ndo anazidi
Hahahaaaaa Mungu amsaidie tu isijekuwa mpopo yupo after something maana Jide hanaga bahati ya wanaume kuanzia Ruge hadi Gadna heheeeeee nimeanza umbea sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…